Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Hahah umesahau 30 ni kataa Ndoa😅Utakuwa unawaringia sana vijana wa 30 wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah umesahau 30 ni kataa Ndoa😅Utakuwa unawaringia sana vijana wa 30 wewe!!
Aaah kweli mko na changamoto kubwa sana.Hahah umesahau 30 ni kataa Ndoa😅
😁😁😄😄Una umwa macho🤔, itakuwa kibomu changu kime fanya kazi😂🤣.
👉Sorry bro, Utakuwa sawa💪
Kina Gentamycine na Umughaka 😁😄😄Huu upanga 😁😁, Kuna Watu Wana maneno kushinda ukali wake🤣😂
Kwakweli ni changamotoAaah kweli mko na changamoto kubwa sana.
🤣🤣🤣🤣 mxxiewwwwMimi situmi vocha natuma vifurushi tu chagua kifurushi unachotaka nilipie.[emoji817][emoji817]
Inshort Wamongolii siwahitaji, mwanaume anakukiss lips zimebabuka km kanywa gongo la msata 😏😏😏Hahahaaa mtata sana wewe kyutkyut[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Huu uzi.....[emoji119]Shida ni kwamba umri huo sawa anafikia peak lakini nyama ya chini ishakuwa tambara bovu lambo, umbo lishapeperuka, na kama alikuwa anatumia mkorogo unakutana na rangi zaidi ya moja usoni bado michirizi minyama uzembe aargh wapambane na vibenten wanaobalehe maana wanakuwaga moto hata mgomba wanapita nao
Acha ubaguzi ungemuoa 30yrsHe he heeee!!! Mkuu karibu kwenye harusi yangu
Na mimi nna 37yrs naoa kabinti ka 24yrs
Unashauri wawe wanatumika tu,wasiolewe?Mimi dada yao nawashauri wakatae ndoa!!!
We only live once kula bata,kuwa mcha Mungu!
Wasikimbilie ndoa watanishukuru baadae!!!
Nadhani anamaanisha kula bata,ukamate kibenten,maana kinakua na moto wa balehe balaa,kikizagamua,kinaenda kuoa wa rika lake.Heee kwani kula bata maana yake nini?
Nieleweshe pengine mi ndo sielewi
Yaani mtu hajafika 30 years afu awe kimoja chali?Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and above
Ya kale tuyaache huko huko kaleni my dear....tupambane na fiucha...Usikute tamaa bidada who knows?
Jamaniiii[emoji28][emoji28][emoji28]Inshort Wamongolii siwahitaji, mwanaume anakukiss lips zimebabuka km kanywa gongo la msata [emoji57][emoji57][emoji57]
It's life circle, nothing unique,
Binti kwenye 20s, lazima aringe maaana, hiyo ni prime age! Asiporinga umri huo ataringia kaburini?
Hata kwenye nyanja zingine ni hivyo hivyo, nilipokuwa bado shababy at 26,sikuona hatari kuacha kazi kampuni moja na kwenda nyingine, boss akizingua, Sina girl friend, Sina mtoto, Sina mtegemezi, kuchomoka kampuni moja kwenda nyingine sikuona hatari.,
Hapo umenena!!Tulia wewe, wakikosekana wa kutuoa tunajioa wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cute Wife uje huku. Kwa Nkapa hatoki mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]