Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

umeamua kuwa burna boy kabisa πŸ˜‚ kweli mbombo ngafu
 
Mada za kitoto tu.

Wanawake nao ni binadamu na wana uhuru kamili juu ya maisha yao. Mwanamke anayejitambua hatakubali kila mwanaume hata akivuka 30s. Tuwaache waishi maisha yao!
mwanamke ili akamilike lazma awe na kidume cha kumuongoza maishaniπŸ˜‚ na kumpa faraja na mbegu nzuri za watoto.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vipengele vingii
 
He he heeee!!! Mkuu karibu kwenye harusi yangu
Na mimi nna 37yrs naoa kabinti ka 24yrs
 
Kama unawajua wataje
 
25 kitu lain kasema nani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vipengele vingii
Watu wazima mambo mepesi tu, yaani unadibua, tena wengine maisha wanayajua, ukimpa mtaji kidogo tu, aiya wee, anaweka kukupa, ukajikuta unamwaga mpaka ubongoπŸ˜‚πŸ€£
 
Kama vipi babaye amlete! Ebooo, usumbufu tu πŸ˜‚
Wana mawenge kinooma.. "ooh, baba karudi"
Sasa unajiuliza mie namtaka baba yake.

Ila wazee wenzangu aahh.. kibosi tu, mambo sio mengi kabiiisa, na unaenjoy laifu.
Ukipita huko ukakuta jodari, ukampelekea utalishwa supu, bado utawekewa mguu bara, mguu pwani.πŸ˜‚
 
Ili kuwasaidia tufanyeje sàsa maana umri unakuwa sio rafiki. Tutoe na solution.😟
 
Nina mtumish mwenzangu. Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…