Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Inaumiza sana mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Siyo jambo La Kufurahia hata Kidogo[emoji24][emoji24]. Huu ni udharirishaji sana unapaswa kupingwa kwa gharama yoyote Ile.
Pia tumekuliwa wengine kwenye nyumba za kupanga, ila wazazi wali deal vyema na sie, wengine hata kuja kuanza haya mambo tumeanzia mwaka wa mwisho chuo. Malezi ni mabovu mtoto hata ukimlea kati kati ya giza anaweza akawa nuruHata ufanyeje hapo hamna kitu sabbu ni majirani zao wamepaka na Kwa mtazamo wangu huwa wanawafatilia wanachokifanya na huwa na wenzie ambao ni wakubwa kidogo inasemekana huyo mama akinywa pombe hufanya hapo uwani kwake na mwanaume wake hanaga muda wa kuingia ndani
Kila ukihamasishwa kufanya kitu kibaya utafanya?Vipi yy mwenyewe akiihamishia huko? Utafanyaje
Inasikitisha sanaKabisaaaa... na Moja kwa moja yaeza kuwa Lazima nae walimshawishi kufanya hivo! Naimajini kitendo cha mtoto miaka hio kujua kama huku ni kufirana... how who when kivipiiiii??? Ni Hatari sana
Mtu akikuhamasisha kufanyie huo uchafu utakubali? Inakuja sio kila kishawiashi lazima tufanye. Tatizo ni mwanaume kushindwa kusimama sehemu yake ya ki uongozi vizuriVipi yy mwenyewe akiihamishia huko? Utafanyaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia imeishaaaaaa.Miaka mitatu Tena kanatamka kabisa kufirana nilihis sijaelewa maana kalikuwa kana wasiwasi pia kamekuja mbio kumwambia mama ake wakaja wengine km wawili nao wakasema ikoiko
Wanawake washadanganyana huko kua akiliwa ndogo tako linakua kubwa sasa hivi ni mwendo wa kususiwa tu.Wanawake ndio wanapenda hayo Mambo nowadays, alafu unakimbilia kulaumu wanaume
Adam alipoletewa tunda haram na eva alifanyaje?Mtu akikuhamasisha kufanyie huo uchafu utakubali? Inakuja sio kila kishawiashi lazima tufanye. Tatizo ni mwanaume kushindwa kusimama sehemu yake ya ki uongozi vizuri
Ibara ya ngapi kifungu namba ngapi?
Nani alikuambia lile lilikuwa tunda haram? Adam alishindwa kufanya majukumu yake vyema, na ndicho ambacho wanaume wa leo wengi wapo hivyo. Mwenye maelekezo yote ya ile Bustan alikuwa nayo Adam na sio Eva, ku fail kwa Adam ku mguide eve na kumlinda ndio matokeo yake yale..Adam alipoletewa tunda haram na eva alifanyaje?
Kipi kifanyike ndugu mtaalamu?Wanawake washadanganyana huko kua akiliwa ndogo tako linakua kubwa sasa hivi ni mwendo wa kususiwa tu.
Sisi wanaume tusiopenda hio michezo sasa hivi wanawake wanatubaka kwa nguvu.
Hii fashion inayo trend sasa hivi ya misambwanda imetuletea balaa kubwa sana sisi wanaume.
Sasa hivi urembo umehamia kwenye misambwanda, mwanamke bila ya kua na msambwanda mkubwa anajiona kua yeye sio lolote sio chochote (sio mrembo)Kipi kifanyike ndugu mtaalamu?
IBARA YA 16 [ 1 ] ya KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.Ibara ya ngapi kifungu namba ngapi?
Je ni kweli wakimwagiwa huko msambwanda hutanuka!?Sasa hivi urembo umehamia kwenye misambwanda, mwanamke bila ya kua na msambwanda mkubwa anajiona kua yeye sio lolote sio chochote (sio mrembo)
Hata wale wenye misambwanda mikubwa nao wanatamani wawe na misambwanda mikubwa zaidi tena ile inayonesanesa.
Mwanamke kama yuko tayari kununua kwa pesa kubwa kemikali (mikorogo) ambayo ni hatari kwa afya yake ili tu aonekane mrembo, vipi akiaminishwa kua akikojolewa nyuma anakua mrembo zaidi?
Inatakiwa nguvu kubwa itumike kuwaelimisha na kuwabadilisha mindset zao kua hata bila ya kua na tako kubwa bado wanaonekana ni warembo tu.
Pole, ungepiga mayowe.Inaumiza sana mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Siyo jambo La Kufurahia hata Kidogo[emoji24][emoji24]. Huu ni udharirishaji sana unapaswa kupingwa kwa gharama yoyote Ile.