Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Inaumiza sana na kusikitisha vizazi vinaharibika hii kitu miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu kusikia lakini kwa sasa ni kitu cha kawaida.
Baadhi yetu sisi wanaume ndio chanzo cha kuwashawishi na kuwalazimisha wanawake. Mwisho wa siku wanakuwa wazoefu na wanawake wengine wanaponzwa na marafiki zao, embu tukumbukeni uwepo wa Mungu.
 
Inaumiza sana mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Siyo jambo La Kufurahia hata Kidogo[emoji24][emoji24]. Huu ni udharirishaji sana unapaswa kupingwa kwa gharama yoyote Ile.

-5840379950706831130_121.jpg
 
Hata ufanyeje hapo hamna kitu sabbu ni majirani zao wamepaka na Kwa mtazamo wangu huwa wanawafatilia wanachokifanya na huwa na wenzie ambao ni wakubwa kidogo inasemekana huyo mama akinywa pombe hufanya hapo uwani kwake na mwanaume wake hanaga muda wa kuingia ndani
Pia tumekuliwa wengine kwenye nyumba za kupanga, ila wazazi wali deal vyema na sie, wengine hata kuja kuanza haya mambo tumeanzia mwaka wa mwisho chuo. Malezi ni mabovu mtoto hata ukimlea kati kati ya giza anaweza akawa nuru
 
Wanawake ndio wanapenda hayo Mambo nowadays, alafu unakimbilia kulaumu wanaume
Wanawake washadanganyana huko kua akiliwa ndogo tako linakua kubwa sasa hivi ni mwendo wa kususiwa tu.
Sisi wanaume tusiopenda hio michezo sasa hivi wanawake wanatubaka kwa nguvu.
Hii fashion inayo trend sasa hivi ya misambwanda imetuletea balaa kubwa sana sisi wanaume.
 
Adam alipoletewa tunda haram na eva alifanyaje?
Nani alikuambia lile lilikuwa tunda haram? Adam alishindwa kufanya majukumu yake vyema, na ndicho ambacho wanaume wa leo wengi wapo hivyo. Mwenye maelekezo yote ya ile Bustan alikuwa nayo Adam na sio Eva, ku fail kwa Adam ku mguide eve na kumlinda ndio matokeo yake yale..
 
Wanawake washadanganyana huko kua akiliwa ndogo tako linakua kubwa sasa hivi ni mwendo wa kususiwa tu.
Sisi wanaume tusiopenda hio michezo sasa hivi wanawake wanatubaka kwa nguvu.
Hii fashion inayo trend sasa hivi ya misambwanda imetuletea balaa kubwa sana sisi wanaume.
Kipi kifanyike ndugu mtaalamu?
 
Kipi kifanyike ndugu mtaalamu?
Sasa hivi urembo umehamia kwenye misambwanda, mwanamke bila ya kua na msambwanda mkubwa anajiona kua yeye sio lolote sio chochote (sio mrembo)
Hata wale wenye misambwanda mikubwa nao wanatamani wawe na misambwanda mikubwa zaidi tena ile inayonesanesa.

Mwanamke kama yuko tayari kununua kwa pesa kubwa kemikali (mikorogo) ambayo ni hatari kwa afya yake ili tu aonekane mrembo, vipi akiaminishwa kua akikojolewa nyuma anakua mrembo zaidi?

Inatakiwa nguvu kubwa itumike kuwaelimisha na kuwabadilisha mindset zao kua hata bila ya kua na tako kubwa bado wanaonekana ni warembo tu.
 
Je ni kweli wakimwagiwa huko msambwanda hutanuka!?
 
Back
Top Bottom