Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Inaumiza sana na kusikitisha vizazi vinaharibika hii kitu miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu kusikia lakini kwa sasa ni kitu cha kawaida.
Baadhi yetu sisi wanaume ndio chanzo cha kuwashawishi na kuwalazimisha wanawake. Mwisho wa siku wanakuwa wazoefu na wanawake wengine wanaponzwa na marafiki zao, embu tukumbukeni uwepo wa Mungu.