Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.
Mwanaume shoga/anayefanywa kinyume na mwanamke anayefanywa kinyume wote ni walewale.
Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia ni wake zako.
Jamii inapokemea mashoga isibebe picha za wafanyaji kinyume na maumbile wanaume tu, wapo wanawake pia tena ni maelfu kwa maelfu nao wakemewe ikiwezekana watengwe.
Sheria za Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni mwiko kwa jinsia zote.
Na ndoa yoyote inakuwa batili pindi tu wanandoa wanafanya kinyume na maumbile.