Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Tuwekee na vifungu vya maandiko basi ili nasisi tuwe na nguvu yakuhubiri neno.
Screenshot_20240202-185457.jpg

Warumi 1:26-27
 
Mi moja nilikutana nalo badoo lipo sinza,moja lipo kongowe sjui huko,nilikutana nalo fb,likaanza sjui unajua kaka we ni handsome kinoma,nikamjibu nakubali sana mzee,akasema pande zp,nikamtajia,akaongeza utakuja lini pande za kongowe,nikamjibu kama nikipata mishe ntatimba tu,akanambia njoo basi ..afu akantumia video ya jamaa mmoja homo anafanywa mambo ya hovyo ..hata skusema kitu nikalima block.
We acha tu mi ni wengi na ninakwepa mitego ila kuna siku sijui pepo gani liniingia linanishawish nikamle mmoja, akili ikanambia sa ka unatak kula mmoja si bora uwatindue wote roho ikaona hii laana nzito nikagairi
 
Uongo mtupuu.
 
Kwa maana hiyo kuingilwa nyuma hakuna madhara??
Madhara yake yapo ila sio hiyo ya mtu akizaa eti sijui kinyesi kumtoka ndio ameingiliwa!! Thats why nikakuuliza mfano wagonjwa wa fistula huwa ni sababu ya anal sex?

Mpaka mtu afikie hiyo level ya kujisaidia labda awe anafanya anal sex mnoo ndio apate hayo madhara kama vile tu atakayefanya sex kwa njia ya kawaida mnoo naye hupata madhara.
Yote hapo juu umefanya kuyapindisha tu ila yote ni ya kweli kabisa
Ni uongo, kaulize versatiles ni kina nani? Sasa mtu anaweza kuingilia wenzake kama ameshaingiliwa sana? Kusimamisha uume ni saikolojia zaidi kuliko eti kuingiliwa. If that's the case basi wanaume wote wenye shida ya nguvu za kiume means ni mashoga!!!
 
Kwa maana hiyo kuingilwa nyuma hakuna madhara??
Mimi nimemuelewa jamaa alichosema,jamaa amekusudia kwamba tunazusha mambo mengi ya uongo kwa sababu tu tunauchukia ushoga.

Suala la shoga kutikusimamisha uume ni suala la saikolojia zaidi hata mimi nakubali,hiyo haimaanishi ushoga ruksa maana watanzania ni watu tuna ufahamu dhaifu sana.

Kuna watu wanaingilia na kuingiliwa,hiyo maana yake ni kwamba kuingiliwa kwake hakujamfanya ashindwe kuusimamisha uume wake ili aingilie,hivyo kuingiliwa pekee hakumfanyi mwanaume asisimamishe uume bali ni saikolojia.

Mfano : mimi nikimuona mzungu amejiachia viungo siwezi kusimamisha na nitaona kawaida,ila assume tu nimemuona sanchoka kajiachia live kama alivyojiachia mzungu,au nimuone poshyqueen kajiachia basi nina hakika nitasisimuka na uume utasimama,hiyo ni issue ya saikolojia yaani psychology na wala sio ishu ya kimatendo ama kimaumbile yaani physiology.

Mashoga wanashindwa kusimamisha uume sio kwa kile kitendo cha kuingiliwa hapana hapana hapana,bali ni kwa ile mentality yao wanayokuwa nayo na uzoefu wa kuingiliwa na wanaume hivyo automatically shoga anajikuta anasisimkwa na vitu tofauti sana kuliko anavyosisimkwa mwanaume wa kawaida.

Wako mashoga kusisimka kwao mpaka akutane na mwanaume mrefu mqenye upara na hana kitambi utakuta hapo anasisimkwa kwa sababu huwenda alishafurahishwa mno na mwanaume wa dizaini hiyo hivyo kumbukumbu akilini inamkumbusha tukio hilo.

KWa mujibu wa Dini zetu ushoga ni dhambi kubwa,lakini pia Sidhani kama hata dini zetu zinaruhusu kukataza ushoga kwa kutumia Uongo,maana kufanya hivyo ni kuutangaza zaidi pale ambapo wengine watagundua ni uongo.

Kwa kumalizia namfahamu mtu ni shoga mtu mzima na ana watoto sio chini ya watano na mke juu.
 
Huyo mshkaji nilisoma nae primary, baada ya muda sana tukakutana songea kwenye mihangaiko ya maisha ila wakati huo yeye ni mwalimu wa shule moja pale songea,tulipoonana tukapiga stori tukabadilishana namba siku moja akanialika nimtembelee kwake nilipoenda ndio akanitega na asikuambie mtu shoga anajua kusawishi mno ila hata ukiachana na hivyo niliendekeza tamaa tu kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukataa na kuondoka ila ndio nikajikuta namla aisee nilipokojoa tu akili zikakaa sawa,hakika nililia mno nikakosa raha wiki mzima na jamaa akawa ananitafuta kwenye simu kuwa anataka tena
Huko songea kuna mwalimu mmoja alinifundisha. Mambo yake yalikuwa hayaeleweki sema wakati ule mambo ya ushoga yalikuwa hayajajulikana sana na baada ya kusoma hii komenti yako ghafla nimemkumbuka
 
Mimi nimemuelewa jamaa alichosema,jamaa amekusudia kwamba tunazusha mambo mengi ya uongo kwa sababu tu tunauchukia ushoga.

Suala la shoga kutikusimamisha uume ni suala la saikolojia zaidi hata mimi nakubali,hiyo haimaanishi ushoga ruksa maana watanzania ni watu tuna ufahamu dhaifu sana.

Kuna watu wanaingilia na kuingiliwa,hiyo maana yake ni kwamba kuingiliwa kwake hakujamfanya ashindwe kuusimamisha uume wake ili aingilie,hivyo kuingiliwa pekee hakumfanyi mwanaume asisimamishe uume bali ni saikolojia.

Mfano : mimi nikimuona mzungu amejiachia viungo siwezi kusimamisha na nitaona kawaida,ila assume tu nimemuona sanchoka kajiachia live kama alivyojiachia mzungu,au nimuone poshyqueen kajiachia basi nina hakika nitasisimuka na uume utasimama,hiyo ni issue ya saikolojia yaani psychology na wala sio ishu ya kimatendo ama kimaumbile yaani physiology.

Mashoga wanashindwa kusimamisha uume sio kwa kile kitendo cha kuingiliwa hapana hapana hapana,bali ni kwa ile mentality yao wanayokuwa nayo na uzoefu wa kuingiliwa na wanaume hivyo automatically shoga anajikuta anasisimkwa na vitu tofauti sana kuliko anavyosisimkwa mwanaume wa kawaida.

Wako mashoga kusisimka kwao mpaka akutane na mwanaume mrefu mqenye upara na hana kitambi utakuta hapo anasisimkwa kwa sababu huwenda alishafurahishwa mno na mwanaume wa dizaini hiyo hivyo kumbukumbu akilini inamkumbusha tukio hilo.

KWa mujibu wa Dini zetu ushoga ni dhambi kubwa,lakini pia Sidhani kama hata dini zetu zinaruhusu kukataza ushoga kwa kutumia Uongo,maana kufanya hivyo ni kuutangaza zaidi pale ambapo wengine watagundua ni uongo.

Kwa kumalizia namfahamu mtu ni shoga mtu mzima na ana watoto sio chini ya watano na mke juu.
Asipo kuelewa hapa, hata elewa tenaa.
 
Huko songea kuna mwalimu mmoja alinifundisha. Mambo yake yalikuwa hayaeleweki sema wakati ule mambo ya ushoga yalikuwa hayajajulikana sana na baada ya kusoma hii komenti yako ghafla nimemkumbuka
Sec or primary? Nataka kuprove kitu.
 
Back
Top Bottom