Mimi nimemuelewa jamaa alichosema,jamaa amekusudia kwamba tunazusha mambo mengi ya uongo kwa sababu tu tunauchukia ushoga.
Suala la shoga kutikusimamisha uume ni suala la saikolojia zaidi hata mimi nakubali,hiyo haimaanishi ushoga ruksa maana watanzania ni watu tuna ufahamu dhaifu sana.
Kuna watu wanaingilia na kuingiliwa,hiyo maana yake ni kwamba kuingiliwa kwake hakujamfanya ashindwe kuusimamisha uume wake ili aingilie,hivyo kuingiliwa pekee hakumfanyi mwanaume asisimamishe uume bali ni saikolojia.
Mfano : mimi nikimuona mzungu amejiachia viungo siwezi kusimamisha na nitaona kawaida,ila assume tu nimemuona sanchoka kajiachia live kama alivyojiachia mzungu,au nimuone poshyqueen kajiachia basi nina hakika nitasisimuka na uume utasimama,hiyo ni issue ya saikolojia yaani psychology na wala sio ishu ya kimatendo ama kimaumbile yaani physiology.
Mashoga wanashindwa kusimamisha uume sio kwa kile kitendo cha kuingiliwa hapana hapana hapana,bali ni kwa ile mentality yao wanayokuwa nayo na uzoefu wa kuingiliwa na wanaume hivyo automatically shoga anajikuta anasisimkwa na vitu tofauti sana kuliko anavyosisimkwa mwanaume wa kawaida.
Wako mashoga kusisimka kwao mpaka akutane na mwanaume mrefu mqenye upara na hana kitambi utakuta hapo anasisimkwa kwa sababu huwenda alishafurahishwa mno na mwanaume wa dizaini hiyo hivyo kumbukumbu akilini inamkumbusha tukio hilo.
KWa mujibu wa Dini zetu ushoga ni dhambi kubwa,lakini pia Sidhani kama hata dini zetu zinaruhusu kukataza ushoga kwa kutumia Uongo,maana kufanya hivyo ni kuutangaza zaidi pale ambapo wengine watagundua ni uongo.
Kwa kumalizia namfahamu mtu ni shoga mtu mzima na ana watoto sio chini ya watano na mke juu.