monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni machukizo sana hayo katika jamii hata kwa Mungu pia na ni hatari hata kwa afya kwa mfanyaji na mfwanyajiYa mambo za kufiranaaa[emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Hilo nalo ni kweli kabisa rafiki.Na Hata wapingaji wengi wao ni wadau kabisaaaa, tena kindaki ndaki.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bongo unafiki mwingi mnoooo, wanayo shadadia hadharan, siyo wanayo fanya faragha.Hilo nalo ni kweli kabisa rafiki.
Inasikitisha sana!Ni machukizo sana hayo katika jamii hata kwa Mungu pia na ni hatari hata kwa afya kwa mfanyaji na mfwanyaji
Kibaya Zaid havina Siri Tena nishashuhudia katoto kana miaka miatatu kanamwambia mamaake mama fulan na mzee x wanafirana ambao ni majirani zao yaani ni ajabu sijui tutakuwa na kizazi Cha aina ganiMweu au chizi ambae dishi limeyumba ndio anaweza chezea mavi
Mbona unalia bibie! Hebu niambie nini kimetokea huko uliko.Inaumiza sana mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Siyo jambo La Kufurahia hata Kidogo[emoji24][emoji24]. Huu ni udharirishaji sana unapaswa kupingwa kwa gharama yoyote Ile.
Vip kwà Vijana ambao hawajoa unaoa mwanamke ashafanya mapenzi Kinyume na Maumbile si hatar?Kibaya Zaid havina Siri Tena nishashuhudia katoto kana miaka miatatu kanamwambia mamaake mama fulan na mzee x wanafirana ambao ni majirani zao yaani ni ajabu sijui tutakuwa na kizazi Cha aina gani
Tafuta pesa uhame hayo mazingira..sio rafiki kwa makuz ya watoto wako..Kibaya Zaid havina Siri Tena nishashuhudia katoto kana miaka miatatu kanamwambia mamaake mama fulan na mzee x wanafirana ambao ni majirani zao yaani ni ajabu sijui tutakuwa na kizazi Cha aina gani
Miaka mingapi sis???😳😳😳😳😳😳 Hao ukute walikafundisha hako katoto wanafanyaje hadharani hadi mtoto kujua kama huko ni kufirana uwii!!Kibaya Zaid havina Siri Tena nishashuhudia katoto kana miaka miatatu kanamwambia mamaake mama fulan na mzee x wanafirana ambao ni majirani zao yaani ni ajabu sijui tutakuwa na kizazi Cha aina gani
Unasemaje hapana ilhali muhusika ndo ulevi wake? Usipomtimizia si ataenda kukata kiu kwingine? Ukisema umwache utaacha wangapi? Kwenye magroup ya wanawake ushaona wanavyosifia huo mchezo? Wanawake wenyewe wa miaka hii wanapenda kujaribu kila kitu.... Wanaume inabidi wacheze na biti, hakuna namnaIla tatizo zaidi wanaume, wanaume tukisema hapana wao watafanyia nini? Mwanaume ni muharibifu kwasababu ya tamaa mbaya na kushindwa kumlinda mwanamke
Nilienda kusuka kwenye huo mtaa sio ninaoishiTafuta pesa uhame hayo mazingira..sio rafiki kwa makuz ya watoto wako..
Mtoto miaka mitatu anajua neno kufirana? AU SIJAELEWAKibaya Zaid havina Siri Tena nishashuhudia katoto kana miaka miatatu kanamwambia mamaake mama fulan na mzee x wanafirana ambao ni majirani zao yaani ni ajabu sijui tutakuwa na kizazi Cha aina gani
Sio kweli, hakuna mwanamke siku ambae hajawai kufirana akaanza kumuambia mwanaume amfire, siku ya kwanza 99 % wanashawishiwa, wanalazimishwaUnasemaje hapana ilhali muhusika ndo ulevi wake? Usipomtimizia si ataenda kukata kiu kwingine? Ukisema umwache utaacha wangapi? Kwenye magroup ya wanawake ushaona wanavyosifia huo mchezo? Wanawake wenyewe wa miaka hii wanapenda kujaribu kila kitu.... Wanaume inabidi wacheze na biti, hakuna namna
Najiuliza nimeingiaje kwa huu uzi, ngoja nitoke tu 😂Dawa hakuna maana hata mods wanazipenda mno ndo favourite yao. Ukitaka kujua anzisha uzi wa katiba mpya kama utadumu dakika 5
Dunia imeishaaaa!!!Mtoto miaka mitatu anajua neno kufirana? AU SIJAELEWA
Vipi kama mwanamke mwenyewe anapenda huo mchezo? UtafanyajeSio kweli, hakuna mwanamke siku ambae hajawai kufirana akaanza kumuambia mwanaume amfire, siku ya kwanza 99 % wanashawishiwa, wanalazimishwa
Kama mtoto wa miaka hiyo anajua kufirana hata kutama hilo neno, malezi ni 0 hapoDunia imeishaaaa!!!
Anapendaje huku hajawai? Usichanganye mambo mawili hapa, kuna ambae kaisha fanya huyu kabla ya kufanya ukija fatilia wali lazimishwa, wali rubuniwa, wengi wanao filwa ukikaa nao kirafiki watakuambia mala yao ya kwanzq haikuwa hiali yao.. Wanaume ni kisababishi na chanzo cha huu uchafuVipi kama mwanamke mwenyewe anapenda huo mchezo? Utafanyaje
Wahuni washafanikisha lengo Lao...heading yenyewe inavutia watu. Na mtu akija hapa na nyegez zake hajawahi kufanya mchezo akisoma baadhi ya comments zinazosifia basi kwisha habari yake atatoka hapa kwenda kuutafuta mtaro ulipoNajiuliza nimeingiaje kwa huu uzi, ngoja nitoke tu 😂