Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

Kuna jirani yangu hapa aliwaambia wazazi anaoa mchaga waliwaka hatari walimwambia akimuoa watamtenga ukoo mzima. haya mambo yanashangaza sana
Syo wanawake wa kichaga wote wana shida mfano wanawake kutoka rombo wale wapambanaji
We muwezeshe tu uone anavyosukuma familia!
Ila wale kutoka nanii huko shida πŸ˜„

Ova
 
Kuna jirani yangu hapa aliwaambia wazazi anaoa mchaga waliwaka hatari walimwambia akimuoa watamtenga ukoo mzima. haya mambo yanashangaza sana
Sema mademu wa kichaga mwanzo kwenye hustle mtaenda vizuri, mkisha fanikiwa .. kunaanza picha picha, na hasa kama mwanaume unaanza kazi za nje.. hapo uje upo kwenye danger zone.. ila ni wanawake wazuri kuanza nao from zero
 
Haka kato
Haka katoto kazuri sasa huyu ata akisema she dnt bliv in 50/50 unasema sawa.
Ka wapi haka?

Ah wee mwanawane mchungaji nae kalamba asali....🀣🀣🀣🀣
 
Hizo tabia wanazo kweli au ni stori za vijiweni
 
Haka kato

Haka katoto kazuri sasa huyu ata akisema she dnt bliv in 50/50 unasema sawa.
Ka wapi haka?

Ah wee mwanawane mchungaji nae kalamba asali....🀣🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜… Wachungaji wa siku hizi ni problem mwanawaneee..

Haka katoto unakujua banaa wee
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…