Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

Wengi wanapata shida ya presha na visukari kwa kupenda ulabu. Lakin kufiwa hamna formula. Zipo nyumba nyingi ambazo sio za wachaga wababa ndio wametangulia.
 
Hivi unajua kwamba mwanaume ukisema uache kutumia kichwa cha mb** na ukaanza kutumia kichwa chenye ubongo maisha yako yanakuwa mepesi sana?
 
Wanawake wanao ongoza kudai talaka
1)wachaga
2)wahaya
3)wanyakyusa
Hawo watu kama umeoa na si kabila lao mwisho wake huwa ni majanga
Hao unakuta wengi wamesoma hivyo wana option nyingi

Sio kama wanawake wa kisukuma ambao wengi wanaishia darasa la 7 na wakijitahidi sana kidato cha nne wanaolewa wakiwa wadogo kila kitu wanategemea kwa mwanaume hawawezi omba talaka kirahisi
 
Uamuzi uliochukua ni sahihi! Nina rafiki yangu msukuma yeye alilipiwa mahari kabisa na mwanamke huyo wa kichaga! Huwezi ukashindana na msukuma kwa mwanamke wa kichaga! Wanawake wa kichaga wanawapenda mno wasukuma wa kiume! Sikuwahi kujua kuna nini.
Aise yule Msukuma alikoswa koswa kuawa kwenye chakula.
Baada ya kuona hivyo alimwachia kila kitu akaenda kuanza upya!
Na yeye kilichomshangaza kule uchagani wajane kwenye ukoo wa kichaga walikuwa wengi,na yeye alijiuliza hivyo hivyo lakini hakushituka mpaka yalipomkuta.
Wasukuma malimbukeni wa mapenzi plus ushamba mwingi
 
Mjane: Unabaki na mali zote za marehemu hakuna mgao isipokuwa kwa watoto ambao unawamudu

Divorce: Mnagawana mali zilizopatikana

Sasa angalia kwa nini wajane ndio wengi uchagani? ukija huku mikoa ya pwani unakuta divorce rate ndio kubwa
 
Hizo option sio sababu ya kuvunja ndoa. Ukiangalia hizo options za kuvunja ndoa ni hazina mashiko nyingi. Maandalizi nakubaliana na wewe kabisa. Ila kuna tatizo sana kwenye jamii kwasababu ya hizo options lakini ndoa Sasa hivi imekuwa fashion na sio ndoa katika maana harisi ya ndoa. Ndio maana unaweza lala mtu Leo kesho akaenda kuomba talaka.. hakuna upendo hakuna heshima watu wameamua kuwa wahuni
Sidhani kama kuna mtu anaweza kulala na kuamka then akaamua kuvunja ndoa. Mara nyingi ni mrundikano wa unsolved issues. Sasa mtu anapoona hawezi tena kuvumilia, basi anasonga mbele.

Nyakati na mambo yamebadilika sana. Inabidi nasi tubadilike.

Mie huwa nalia sana na "MALEZI", hapa ndipo peye shida kubwa sana. Kama jamii tumepwaya mnoo kwenye kipengele hiki. Tumebakiwa na wanaume ambao hawako tayari kuwa responsible kwa mambo yao wenyewe, wamebakia kuwa watoa lawama tu. Hatuwaandai watoto wetu wa kiume kuwa wanaume ambao watakuwa problem solvers na viongozi wazuri wa familia zao na jamii kwa ujumla.

Tunamsomesha na kumuimpower mtoto wa kike, je tumemuandaa mtoto wa kiume kuishi na huyu mwanamke? Au ndio anabakia na mentality ya babu yake huku mkewe sio bibi yake? Na huyu mtoto wa kike anaandaliwa kuwa nani kwenye jamii yake? Au baba yake ndio hawa kataa ndoa then tutarajie aje kuwa mke mwema!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom