Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
We utakuwa unatuvalia bling bling ,, tishet na jinzi, cheni , kacha na buti kubwa.46 uzee gani wewe hapo bado young kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa unatuvalia bling bling ,, tishet na jinzi, cheni , kacha na buti kubwa.46 uzee gani wewe hapo bado young kabisa
Na chini bonbe la timberland na play kwenye shavu kama nelly 🤣🤣🤣🤣We utakuwa unatuvalia bling bling , buti kaali na cheni kiguani
Mwenye fake BBL huyu au mwengine?Mmmhh unamjua niki minaj?
Usioe mchagaDuuuh huko ukioa inabidi uwe machale kundesa.
Kichwa cha chini sumbufu sana ndugu yangu,haswa asubuhiHivi unajua kwamba mwanaume ukisema uache kutumia kichwa cha mb** na ukaanza kutumia kichwa chenye ubongo maisha yako yanakuwa mepesi sana?
Hao unakuta wengi wamesoma hivyo wana option nyingiWanawake wanao ongoza kudai talaka
1)wachaga
2)wahaya
3)wanyakyusa
Hawo watu kama umeoa na si kabila lao mwisho wake huwa ni majanga
Usikute upo serious et 😂
Wasukuma malimbukeni wa mapenzi plus ushamba mwingiUamuzi uliochukua ni sahihi! Nina rafiki yangu msukuma yeye alilipiwa mahari kabisa na mwanamke huyo wa kichaga! Huwezi ukashindana na msukuma kwa mwanamke wa kichaga! Wanawake wa kichaga wanawapenda mno wasukuma wa kiume! Sikuwahi kujua kuna nini.
Aise yule Msukuma alikoswa koswa kuawa kwenye chakula.
Baada ya kuona hivyo alimwachia kila kitu akaenda kuanza upya!
Na yeye kilichomshangaza kule uchagani wajane kwenye ukoo wa kichaga walikuwa wengi,na yeye alijiuliza hivyo hivyo lakini hakushituka mpaka yalipomkuta.
Sura nzuri au una ujinga wa kipepeo,kuvutiwa na rangi?Sio wote wapo wengine wazuri sana. Infact wachaga wengi wana sura nzuri 90%
Nawamudu shaka ondoaNimekutumia namba yake PM mkuu ila kuwa makini maana wapo kama wanne hvi
Sidhani kama kuna mtu anaweza kulala na kuamka then akaamua kuvunja ndoa. Mara nyingi ni mrundikano wa unsolved issues. Sasa mtu anapoona hawezi tena kuvumilia, basi anasonga mbele.Hizo option sio sababu ya kuvunja ndoa. Ukiangalia hizo options za kuvunja ndoa ni hazina mashiko nyingi. Maandalizi nakubaliana na wewe kabisa. Ila kuna tatizo sana kwenye jamii kwasababu ya hizo options lakini ndoa Sasa hivi imekuwa fashion na sio ndoa katika maana harisi ya ndoa. Ndio maana unaweza lala mtu Leo kesho akaenda kuomba talaka.. hakuna upendo hakuna heshima watu wameamua kuwa wahuni
Mmmmh uogopiNawamudu shaka ondoa
Msanii wa lil wayneMwenye fake BBL huyu au mwengine?
Una matusi ya reja reja.🙌Usikute upo serious et 😂
Nipo serious kweli😍😍😍😍Usikute upo serious et 😂