Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Binafsi nilacha hiyo tabia baada ya kupata shida nisuguliwapo nyayo...yaani nyege zinapanda kiasi nilitaka kupiga kelele ..nikaone si vyema nikaacha kbsa
Hiyo kazi ifanywe nyumbani na hubby wako.Na yawezekana kuna wengine wanafurahia kunyegezwa ndio maana hawakauki kwa hawa jamaa
 
Hili suala linaelekea kuwa tata...mpenzi wmg anapenda sn hii aina ya urembo....nmemuambia sina tarzo nayoo...ila masharti yake ni haya....katu sitaki kumuona akienda kwa hao wasugua kucha...sitompatia fedha kwa hilo....ila tumekubaliana kitu kimoja....nmpatie fedha anunue vikorombwezo vyooooooteeee na awe anafanyia nyumbani chini ya uangalizi wng....alikubali na ulipeana ratiba rasmi na nilichukua namba ya simu ya huyo msugua kucha...mm ndio nampgia....

Kuna siku alikuja nje ya makubaliano pasipo mm kuwa na taarifa...bahati Nzuri nilikuweka mangi wa dukan km mlinzi sababu duka linatazamana na geti lng,na pia mdg wangu alikuwa anakuja kuchukua vifaa hapo hom hvyo waliingia pmj.....

Nilichofanya nilimpgia simu bwana mdogo nikamwambia aweke simu loudspeaker then nikakinukisha...mpk sasa yule msugua kucha ameadabika na kustaarabika sn maana aliomba msamha...without rules hawa wanawake wanatupanda sn vichwani...am kind of little dictator
 
Nani kakudanganya msugua kucha hali chipsi,huo ndio mlo hawataki vyakula vigumu wanataka vitu lainilaini tuu
Wew msugua kucha gani unaongelea?? jamaa anatembea kutoka mabibo hadi huku chuo kwamguu mtu kama huyu hana time na chips kuku. mpesake ugali wadona. wa buku jero. hayo mengine mtakulaga nyie.. ndomana hamuwezi kusugua.
 
Binafsi nilacha hiyo tabia baada ya kupata shida nisuguliwapo nyayo...yaani nyege zinapanda kiasi nilitaka kupiga kelele ..nikaone si vyema nikaacha kbsa
Hukupenda hatahuko kwenye nyege angekusugua tu. sikunyingine unamuita home zikipanda anapasugua hadi pakauke
 
Mkuu wew unasema kucha?? kuna huduma mpya ndo imeingia hapa town. "WAX" hiikitu mzee kama mkewako anakwenda huko kufanyia wax ndobasi tena. ipo wax yamwili mzama ao ya sehem fulani. hatarii
hukupenda hatahuko kwenye nyege angekusugua tu. sikunyingine unamuita home zikipanda anapasugua hadi pakauke
 
wew msugua kucha gani unaongelea?? jamaa anatembea kutoka mabibo hadi huku chuo kwamguu mtu kama huyu hana time na chips kuku. mpesake ugali wadona. wa buku jero. hayo mengine mtakulaga nyie.. ndomana hamuwezi kusugua.
Hahahahah hapa umeingia chaka kwanza sijui hata ladha ya chipsi ikoje?,ww endelea kuwasifia hao wapaka rangi...
 
Utanunua rangi sawa na utasugua je kuchora utaweza ?
 
Ktk nyayo kuna msisimko wa ajabu, mwanamke lazima aloweshe chupi.
 
ni sawa na sisi wanaume tunavyowagegeda wale wafanya scrub kule saluni,akishamaliza kukushikashika unaondoka na namba ya simu tu.
Umenikumbusha Arusha kuna jomba alivuruga kabisa familia yake kisa dada moja linalofanya hii shughuli.
 
We jamaa so hata hum saloon tunaposhwa miguu na hawa wadada unahis tunamalizana sio ? Sasa hisia zipi zinapanda usuguliwapo au kukatwa kucha asee watu wengine mnaakil tofauti mno
Wewe ndio unaakili za tofauti na wenzio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…