Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

Napitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anaambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie ninavyoona ni vizuri tu kwa kweli🤣
We jinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣, maana nikaacha kutupia selfika🤣🤣🤣🤣,,

Maana kule watu wanajua kujaza upepo unajaa na unatupia nyingine🤣🤣,

Kufarijiana🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…