Seran unaona mdogo anguNapitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anaambiwa ni mzuri ila hashtuki kuw a anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie ninavyoona ni vizuri tu kwa kweliπ€£
So kweliπ mwanao leo anapumulia kiwanja gani? Ni kama kazima barLa hasha. Wewe una zigo kubwa tu mbona. Kwani huwa husikii unapopita mbele yangu ninavyosindikiza hatua zako kwa maneno, "Singida Dodoma"?
KweliiπβΊοΈ
ππππ€jmnBwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe
Unafiki ndio sijawahi kuuweza mkuuπAcha unafiki, ongea ukweli
Kabisaa dadaakeπTutafute hela mdogo angu
Hahaha
Wewe unabaki kwenye machomekoπSasa Werrason, kwenye unyamwezi nakuachia wewe hili jimbo la Seran. π
Nope! Me na Unyamwezi wapi na wapi.....Pambania kombe MkuuSasa Werrason, kwenye unyamwezi nakuachia wewe hili jimbo la Seran. π
Nakuja la mamaπππ½
Kwahiyo wote mnataka machomeko sioπNope! Me na Unyamwezi wapi na wapi.....Pambania kombe Mkuu
ππππNa nimekutag kabisa ushuhudie mambo hayo!π€¦π½ββοΈ
ππKwahiyo wote mnataka machomeko sioπ
Nikataeni tu πππ
Why ?Kule selfika kuna unafiki sana aisee!
Hamna!! Sena pigo zangu za kichimba chumvi umezipondeaπNikataeni tu π