Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

Bwana min -me kaliweka sawa hili jambo. Sasa unakuta mwanamke kama Dr. Mariposa . Sura kama ametafuna mbegu ya limao, kapigwa pasi halafu kifupi kama kibakuri cha supu. Eti nae anataka aongwe

Hata huyo mkeo viwango vyake sio vya kimataifa..

Deep down unachukia wanawake sijui nani alikufanya ukawa confused na hii gender..

Mkeo ana kazi!

Uhusiano wenu ni wa mchungaji na ling'ombe lake..

Feel pity for her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…