π€£π€£π€£Nakusemaaaa
Huwezi sema unapenda tall dark
Wakati mumeo ni mpare.. mfupi na mweupe peeeee
Na hushindwi weweSitafungua
Nitadelete on the spot ππ
Ukimuona naniiNa hushindwi wewe
Mstaafu?Ukimuona nanii
Mwmabie nampenda
π€£π€£π€£Alhamdullilah Kuhusu swala la urefu si haba... naweza tembe mjini nikakutana na watu wawil au watatu tu wanaokaribiana na mimi, tupo sawa au wamizidi kidogo.. otherwise wote ni vidumu vya korie.
urefu tyr,
dark tyr,
bado pesa wachaa niisake
Ila we ni kichaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mstaafu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada utakua mfupi mnene[emoji4]View attachment 2547808
Mnapenda tall and dark lakini wanaooa ni wapare πHuyo dada mume wake ni mpare
Sasa jiulize wapare walianza lini kurefuka kwa kwenda juu?
Me sitaki kumkosea shemeji yangu
Cc Lenie
Yan mambo ni tafraniMnapenda tall and dark lakini wanaooa ni wapare π
Sikomi π€£Koma dada
π€£π€£π€£π€£
Masai wangu from SA
πππ mmaaaaπ€£π€£π€£
Sikukaribishi tena kwangu, kumbe kazi yako kuchunguza maisha ya watu
Nimemmiss na simu zake hazipatikani.Ila we ni kichaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
πππ au kakublock? Mbona mimi leo nimemuonaNimemmiss na simu zake hazipatikani.
ππππ em niache kwanza nikamtafute mwenyeweSikomi π€£
Masai tall, zimefika
Dah... kumbe hata wewe?Nyie hamjui tuππ
NdiwooooπDah... kumbe hata wewe?
Nenda kamtafute kabla hajapotelea mamtoniππππ em niache kwanza nikamtafute mwenyewe