Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Alhamdullilah Kuhusu swala la urefu si haba... naweza tembea mjini nikakutana na watu wawil au watatu tu wanaokaribiana na mimi, tupo sawa au wamizidi kidogo.. otherwise wote ni vidumu vya korie.

urefu tyr,
dark tyr,
bado pesa wachaa niisake
 
Alhamdullilah Kuhusu swala la urefu si haba... naweza tembe mjini nikakutana na watu wawil au watatu tu wanaokaribiana na mimi, tupo sawa au wamizidi kidogo.. otherwise wote ni vidumu vya korie.

urefu tyr,
dark tyr,
bado pesa wachaa niisake
🤣🤣🤣
Mbona vidumu vya korie

Tafadhali jamani
Niachieni kaka zangu wapare na waluguru
 
Back
Top Bottom