Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
🤣🤣🤣Nakusemaaaa
Huwezi sema unapenda tall dark
Wakati mumeo ni mpare.. mfupi na mweupe peeeee
Sikukaribishi tena kwangu, kumbe kazi yako kuchunguza maisha ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Nakusemaaaa
Huwezi sema unapenda tall dark
Wakati mumeo ni mpare.. mfupi na mweupe peeeee
Na hushindwi weweSitafungua
Nitadelete on the spot 😂😂
Ukimuona naniiNa hushindwi wewe
Mstaafu?Ukimuona nanii
Mwmabie nampenda
🤣🤣🤣Alhamdullilah Kuhusu swala la urefu si haba... naweza tembe mjini nikakutana na watu wawil au watatu tu wanaokaribiana na mimi, tupo sawa au wamizidi kidogo.. otherwise wote ni vidumu vya korie.
urefu tyr,
dark tyr,
bado pesa wachaa niisake
Ila we ni kichaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mstaafu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada utakua mfupi mnene[emoji4]View attachment 2547808
Mnapenda tall and dark lakini wanaooa ni wapare 😅Huyo dada mume wake ni mpare
Sasa jiulize wapare walianza lini kurefuka kwa kwenda juu?
Me sitaki kumkosea shemeji yangu
Cc Lenie
Yan mambo ni tafraniMnapenda tall and dark lakini wanaooa ni wapare 😅
😂😂😂 mmaaaa🤣🤣🤣
Sikukaribishi tena kwangu, kumbe kazi yako kuchunguza maisha ya watu
Nimemmiss na simu zake hazipatikani.Ila we ni kichaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 au kakublock? Mbona mimi leo nimemuonaNimemmiss na simu zake hazipatikani.
😂😂😂😂 em niache kwanza nikamtafute mwenyeweSikomi 🤣
Masai tall, zimefika
Dah... kumbe hata wewe?Nyie hamjui tu😂😂
Ndiwoooo🙂Dah... kumbe hata wewe?
Nenda kamtafute kabla hajapotelea mamtoni😂😂😂😂 em niache kwanza nikamtafute mwenyewe