Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Usioe usomi wakee, usomi aweke nje akiingia ndani anakuwa mke, mambo ya familia amua mwanaume hakuna discussion ukiruhusu ruhusu discussion ndio utaleta majibizano na ubishi usio na maana, husika Moja kwe Moja kwenye huo usomi wake ajione pamoja na usomi wake kwako si kitu, usiulizie ulizie mshahara wake wakati huo timiza majukumu yako kama baba atakuwa na heshima kuwa kumbe usomi wake hauna msaada kwako. Lakini ukionyesha kuwa usomi wake una msaada kwako umempa fimbo ya kukuchapia
 
Low life low brain 🧠
Katafute hela wasikupakue wenzio...
Naona una obsession ...
Njoo nikuajiri upunguze stress mjini hapa paka wewe. Uliza wenzio wanaonijua wakwambie.
Nikikuquote tena uniite mbwa nimekaa pale.
Ungekuwa na hela na miaka yako 40 ungetafta ka-marioo kakuishi nako kama wenzio au hao wanaume unaosema wanapenda mtelezo na sio kulilia ndoa na uzee wote huo.
Ushazeeka hakuna muujiza utatokea hapo
 

Hatupo sawa lakin hakuna aliyebora zaidi ya mwenzake maana kila mmoja anamajukumu yake anayoweza kuyatekeleza that how God creates
 
Kanywe soda jmn ntalipia
 
Mke wangu ana masters ila akileta za kuleta nafungulia radio sauti kubwa sana ili watoto wasijue kinachoendelea baada ya hapo anakula makofi mpaka akili zinamkaa sawa.
Ukiwa nyumbani kwangu wewe sio msomi bali wewe ni mke wangu ila ukiwa nje wewe ni msomi vile vile pia ni mke wa mtu .
Mwanamke yeyote awe amesoma au hajasoma ukienda nae kidplomasia hamuwezi kufika popote
 

My Man
 
Kupiga Mwanamke ndio Uanaume[emoji23]
Aisee nimegundua wengi humu hamjiamini hata kidogo
 
Wewe sasa ndio Mwanaume [emoji106]
 
Kutandika mwanamke sidhani kama ni kitu cha kujivunia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada ni kubwaa sana ila mwanaume atabaki kuwa mwanaume mbele ya mwanamke yeyote awe msomi ama asiwe msomi kwa kujua majukumu yake na kuyatekeleza kama mume na baba wa familia ,vyeo pamoja na Elimu za wake zetu huwa zinaishia mlangoni akitoka kwenye majukumu yake na sisi wanaume ndio wenye maamuzi ya haya toka awali .mengine ni tabia ya mtu wala sio taaluma ama cheo alichonacho
 
Basi hapo ndio umejisikia ahueni, faraja, furaha, mzigo umeutua kwa kuchambana na mwanamke 🥲
 
Basi hapo ndio umejisikia ahueni, faraja, furaha, mzigo umeutua kwa kuchambana na mwanamke 🥲
Najua wewe ni shoga..
Ukweli hauangalii ni mwanamke au mwnanaume anayeambiwa.
Kama kuna kitu unakitafta kwake hamna haja ya kuanzia mbali mfuate direct angalau aolewe hata na shoga
 
Najua wewe ni shoga..
Ukweli hauangalii ni mwanamke au mwnanaume anayeambiwa.
Kama kuna kitu unakitafta kwake hamna haja ya kuanzia mbali mfuate direct angalau aolewe hata na shoga
Hahahaha kweli amekuvuruga maana sio kwa hasira hizi [emoji1787]

Pole bro tuendelee kupambana ipo siku na sisi tutaweza kukaa meza moja na hao warembo pale level 8 🥲
 
Hahahaha kweli amekuvuruga maana sio kwa hasira hizi [emoji1787]

Pole bro tuendelee kupambana ipo siku na sisi tutaweza kukaa meza moja na hao warembo pale level 8 🥲
Hakika tupambane tu mkuu ila tuachane na ma feminist tutakufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…