Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Na hao wanaume ambao hawajielewi wanalelewa na ma feminist kama ninyiSasa hivi gender theories zimejikita kwenye ku educate men to be men maana wengine walishasahau majukumu yao ya kiume (najua wengi mtabisha ila hili nalo ni somo la siku nyingine).
Pale ambapo mwanaume atajitambua kama mwanaume hataweza kuogopa usomi au kipato cha mwwnamke.
Jioni njema.
Kama ukininukuu naomba uwe akili kubwa....
Nashangaa sana siku hizi , Wanaume wamekuwa waoga halafu Mwanamke hataki mambo mengi sema Sisi Wanaume ndio huwa tuna jichanganya na tukijachanganya tayari unakuwa umeshapanda mbegu. Wanawake hawana matatizo kwa sababu hawa wana ubavu wetu.Nnaamini zaidi kwenye upendo
Nnaamini zaidi kwenye amani na furaha
Siwezi tafuta mke kwa kuangalia elimu,kipato chake
En na wish kua na mtu asie na kitu kabisa.... kwasababu zangu binafsi
👏👏👏👏Hivi huu ugonjwa wa kulalamika lalamika unaitwaje?
Kuuutwa kulia lia na kulalamika
FANYENI KAZI muache kulia kimama mama hata wamama wenyewe hatulii namna hii
Kuutwa kulilia ndoa na wanawake kama vimama, hamjishtukii?
Huyu nae ka mwehu ss ndio nn hizo na nyie bebeni mimba😂😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆uzi ufungwe..mwamba umemaliza!Hujakatazwa kuoa illiterate woman. Oa kabisa asiyejua kusoma wala kuandika mjenge familia.
Huna ndoa wewe, nyie kila siku mnaanzisha mabango ya kukataa ndoaMwaka wa 7 sasa huu,
Unataka kusemaje labda wee mzee
🤣🤣Sina neno wangu,mambo haya hayatabirikiUshauri muhimu kabisa huu.
Sijui kama watakuelewa.
Kwani To yeye anasemaje?
😅😅😅Wataishia la7,ili wasisumbue waume zaoKwahiyo mtasomesha mabinti zenu au wakifika la saba ndo basi???🙄
Mke hana kazi ila hataki kufua, mke hataki kupika, mke hataki kuangalia watoto, ila anataka mwanaume utimize traditional roles zako zote, uhudumie familia kipesa, umpe hela ya matumizi na umwekee beki 3.. wtf PalinaWanaume wa humu bhana mi sijawai ona mwanamke mfeminist sijawai ona,kinachofanya muone mwanamke sijui ni feminist ni matendo yako
Huezi mtenda vibaya akae kimya, tunaishi dunia ingine kabisa
Em jitahidini kwenda na wakati.
Watendeeni vema wanawake hayo mambo ya ufeminist hamtoyasikia
Pia naona ishu ya ufeminist ni swala la kimawazo au perception ya mtu but in reality its just how the WORLD WORK
Feminist wa skuiz was*nge sana
Ebu cheki hii post kutoka ig, ya feminists
Wanapromote kua tupake watoto wetu wakiume makeups.... lengo lao ni kudhohofisha uanaume (masculinity)
Sent using
Miaka 100 ijayo hakutakuwa na wanaume DunianiDunia ijayo ni ya wanawake wasomi, kwaiyo asilimia kubwa watakua feminist?
Nyie ndo mnalikuza ilo jambo.Miaka 100 ijayo hakutakuwa na wanaume Duniani
Elimu Bora ndiyo ukombozi. Je hapa kwetu Kuna elimu Bora isiyowaharibu dada zetu?!Nyie ndo mnalikuza ilo jambo.
Lakini mkilipotezea tu halina cha kuwaumiza.
Elimu ni ukombozi, inategemea unaitumiaje.
Swali zuri kbsaKwahiyo mtasomesha mabinti zenu au wakifika la saba ndo basi???🙄
Hapa bongo tupo balanced, ila ni kwamba wanaume wamekua dhaifu kupelekeshwa na wanawake kiasi kwamba inaonekana tatizo ni elimu.Elimu Bora ndiyo ukombozi. Je hapa kwetu Kuna elimu Bora isiyowaharibu dada z
Mfumo Dume hakuna sehemu umezungumzia maswala ya kuoa au kuishi na mwanamke msomi.Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....
Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...
Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.