Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Na sio feminist wote... nadhan unaongelea radical feminists.

Sasa hivi feminist hawapo kwenye kubomoa ila kukumbusha wanaume na wanawake traditional roles zao na sio zaidi. (Jaribu kusoma contemporary theories za feminism uone wenzio walishaondoka huko kwa radicals ).
 
Kuna ambao wanajielewa. Pesa, Madaraka na elimu kwao haviwapi kiburi cha kutaka kuwaona wanaume na kama wanawake wa jinsia ya kiume..!!

Binafsi nina binti na ninamsomesha kwa nguvu zangu zote, sawa na wa kiume nilionao. Lakini at the same time namweleza kuwa elimu, pesa na madaraka havimfanyi kuwa mwanume..!!
 
Hakuna usawa wa mwanamke vs mwanamume..
Mwanamume ni mwanamume na mwanamke ni mwanamke.

Usawa kwenda mambo rahisi rahisi tu, yakishakuwa magumu utasikia wanatafutwa wanaume..

Waanze basi nao kuchimba makaburi, waanze basi nao kushuka makaburini kupokea miili au kushika kamba kushusha majeneza.
Waaze basi nao kuwa wavuvi wa samaki deep sea huko na mitumbwi au ngalawa zao, waanze basi nao kuwa mabaharia dip sea kwenye mitemba tuone meli ikiwa na akinamama tupu imebeba contena, waanze basi kwenda vitani walishika bunduki na mizinga, Waanze basi kubeba mizigo masokoni na mashambani, waanze basi kuingia migodini chini huko na kurun operations..... Maumbile ya mwanamke ni yamwanamke tu...
 
Wanaume wanaoa mwalimu wameshashituka, akiwa amesoma sana basi awe mtu wa dini kweli.
 
Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...
Huo kuwa harakati za kuharibu mfumo asilia zilianza hivi, kupitia jinsia, wamefanikiwa na hasa huku kwenye umasikini wa kutisha, tulikokuwa tumebakiwa na maadili ya kifamilia jadi.

Agenda inayofuata ambayo na yenyewe imeanza kufanikiwa ni kuwa; Mwanamke ni sawa na Mwanaume kimaumbile, anaweza kuoa; hii haina madhara makubwa sana kama Agenda ya kutaka kumbadili Mwanaume kuwa Mwanamke, wenye mnaita LBGT sijui!

Usomi ni kutambua dhima nzima ya uwepo wa jinsi yako hapa duniani, mengine ni ule uwezo wako wa kufikiri baada ya kuondoa yaliyojazwa kichwani kwako kupitia madarasa.
 
Hujabahatika... ogopa hivyohivyo

Chuo fulani hapa Bongo maarufu... sitataja jina... kuna Dr. wa kike alikuwa anabanduliwa na kijana mfanya usafi.

UDSM mnamo mwaka 2014, 2015 au 2016 kuna Mmama ni Dr. Aliolewa na muuza matunda. Shauri yako sasa
SIjasema hawapo..!! Ila asilimia kubwa do wapo hivyo
 
Mungu alikataa 50 kwa 50, binadamu unang'ang'ania nini? Alichukuwa tu ubavu wa mwanaume ili kumuumba mwanamke, je hiyo ni 50 kwa 50? Wanawake wasomi zingatieni mambo ya Mungu ili mtimize wajibu wenu kama wanawake.
 
Wanaume acheni kutengeneza drama kwa kutokujiamini kwenu mbele ya wanawake wasomi na wenye navyo .....unakuta mwanamke wa watu yuko down tuu lakini mwanaume ndo anajistukia stukia.....utakuta mwanaume anaulizwa unamuona flani msomi vile mtawezana kwelii...? Hata kabla hajafunga ndoa picha ishajengwa kwamba kuna tatizo ambalo in reality halipo.

Binafsi nilichoona bora wasomi waoane wenyewe na ngumbaru waoane wenyewe nadhani wataelewana lugha.
 
Hujabahatika... ogopa hivyohivyo

Chuo fulani hapa Bongo maarufu... sitataja jina... kuna Dr. wa kike alikuwa anabanduliwa na kijana mfanya usafi.

UDSM mnamo mwaka 2014, 2015 au 2016 kuna Mmama ni Dr. Aliolewa na muuza matunda. Shauri yako sasa
Sasa muuza matunda yeye asioe? Au hana haki ya kuoa jaman?
 
Wasomi wanaoa waalimu una hela zako uoe dume jike la nini!?
Nyie tafteni vibenten
 
Mimi mwanamke msomi nitakayemuoa labda awe amesomea education au afya,,, ila hao wengine hapana aisee sitaki hata kuwasikia wanavaaga vimiwani vyao kama Tulia akson au kilemba kama ummy mwalimu, au wanaongea kama Mrs Gwajima yaani vinakisirani sana sana. Mara nyingi hawa huolewa na wastaafu wale wazee waliostaafu TBL,SBL,Au kwenye majeshi.

Kila wiki vinakuwa na semina dodoma au arusha kujadili eti usawa wa kijinsia na mtaani vinaanzisha vikundi uchwara ili tu asiwe anashinda nyumbani kila weekend yupo kwenye kikao na kama ni RC utakuta ni kiongozi wa WAWATA jUMUIYA Ni katibu au mwenyekiti

Usioe msomi narudi tena mimi pia mwanangu akisoma namshauri asomee ualimu au afya hawa watu angalau kidogo wanakuwa wanyenyekevu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…