Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...


Sasa hilo ni tatizo lake yeye!
Hata awe na nini na nini aelewe tu kua atatakiwa kutimiza wajibu wake kama mke
Na mimi nitimize wajibu wangu kama mme wake basi
Na ndio maana nkasema “mimi” binafi katika kitu siangalii ni uwezo wa bint au elimu
Kwasababu upendo,amani na furaha havitegemei elimu yake!
 
Hi ni swala lingine mkuu
Kuna kitu kinaitwa tamaduni
Kuna koo zingine kutoka mataifa mengine hawalipishi mahari
Wengine wanalipa zaid au kidogo
Kwakwel wangeweka iwe chache kidogo
Hapo kwenye tamaduni kwann wanawake wachague tamaduni zinazowafaidisha tu. Hawaangalii upande wa pili...
Kwenye tamaduni hapo kumbuka ni kua mwanamke inabid ake ndani apike, apige deki na afanye kaz zote za ndani na azae tu... kwahio tufate tamaduni au tuziache? Inabidi tuchague moja! Binafsi nasema tamaduni tuziache [emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possibly Your Bellow 30
 
Na kosa lao hao me wenzako wana generalise. Sio ke wote
 
Tatizo la wanawake wanamezeshana ujinga tu kupigania haki sawa hili bomu litakuja kulipuka baadae.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app

Haki sawa iwe kwenye mambo mengine kama elimu na na uongozi labda
Au naweza Sema kwenye mambo ya jamii
Ila sio kwenye ndoa!
Ikumbukwe kua ndoa sio kitu cha kushindania au kitu chakufanya jambo furani watu wakaona wakapima kua nani anafanya vyema kuliko mwingine
Mke wangu atabakia kua mke wangu tu
Ntakua na maamuzi ya mwisho kwake kama mke wangu
Ntatikiza wajibu kama mme wake na yeye afanye yakwake kikamilifu
Mengine ni kusaidiana kwa namna ya kawaida (maisha ya ndoa)
Ila haiwezekan familia moja wote tukawa ++ hapana
 
Nasema hivi wewe ndo mwanaume
Wafundishe na wenzako kuwa wanaume
Huna akili hatuwi wanaume kwa recognition ya feminist uchwara.
Inaonekana huna elimu(kama unayo ya kuunga unga hotel management), huna pesa ndio maana unalilia ndoa
Na atakaye jichanganya akuweke ndani ghafla ushike vijicent utamsumbua unaonekana hata hofu ya Mungu huna
 
Sure yaani watu wanashindwa kuelewa haya

Nachoona wako too insecure, hawana amani wakiona mdada kasoma, anacheo kikubwa kumshinda

Wamuige basi hata ASAP RoCKY wa Rihanna if they are too hard to think
 
Hatuwi wanaume kwa recognition ya comment uchwara kutoka kwa feminist kichwa maji bora hata fetty karume na Maria sarungi.
Wewe bidada huna elimu, huna hela ndio maana unalilia ndoa feminist wenzako hawalili ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nashangaa hapo.
 
Kwanza nicheke

Pili unjaua sisi wanawake hamna asiependa kuolewa emu angalia hao wanawake wenye mapesa unaodhan kutwa wanaolewa ushajiuliza ni kwanini??
 
Uliwahi kushuhudia ukandamizaji wa haki za wanawake mkuu?
au kukutana na ndugu yako wa karbu aliyevunjiwa haki zake sababu ni mwanamke,
au unyanyasaji wa wanawake? mimi sijawahi mkuu tokea nizaliwe.
 
Kwanza nicheke

Pili unjaua sisi wanawake hamna asiependa kuolewa emu angalia hao wanawake wenye mapesa unaodhan kutwa wanaolewa ushajiuliza ni kwanini??
Ni kweli lakini hayo yaliyosoma na yanapesa yana confidence huku nje ya kusema hayaolewi kama yule aliyeolewa juzi na jilala
 
Wanaume wa humu bhana mi sijawai ona mwanamke mfeminist sijawai ona,kinachofanya muone mwanamke sijui ni feminist ni matendo yako

Huezi mtenda vibaya akae kimya, tunaishi dunia ingine kabisa
Em jitahidini kwenda na wakati.

Watendeeni vema wanawake hayo mambo ya ufeminist hamtoyasikia

Pia naona ishu ya ufeminist ni swala la kimawazo au perception ya mtu but in reality its just how the WORLD WORK
 
Kama anaongelea kuwa na hivyo vi-degree uchwara ndio wanawake waliosoma hao wanaolewa na MTU yeyote hawana security.
Kutana na femist lipo kwenye vitengo pale wizara ya fedha useme wewe ndio kichwa cha familia hata kupika halijui
 
Uliwahi kushuhudia ukandamizaji wa haki za wanawake mkuu?
au kukutana na ndugu yako wa karbu aliyevunjiwa haki zake sababu ni mwanamke,
au unyanyasaji wa wanawake? mimi sijawahi mkuu tokea nizaliwe.
Kama mimi na wewe haijatokea kwetu ndio inamaanisha haitokei kwa wengine?
Unataka kusema tangu umekua hadi kufika umri huo hujawahi hata kusoma juu ya ukandamizaji wa Mwanamke? Hata ile filamu ya Neria pia hukuona??
Basi utakua unaishi under the rock
 
Kama mimi na wewe haijatokea kwetu ndio inamaanisha haitokei kwa wengine?
Unataka kusema tangu umekua hadi kufika umri huo hujawahi hata kusoma juu ya ukandamizaji wa Mwanamke? Hata ile filamu ya Neria pia hukuona??
Basi utakua unaishi under the rock
Mkuu tuzungumze maisha haya tunayoishi achana na muvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…