Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwamba wote umewapitia mzee ukajua wana kina kirefu na kipana?? [emoji848] [emoji23]Wanawake wembaba shida yao ni moja tu..wana kina kirefu sana na kipana.
#MaendeleoHayanaChama
Sampling techniques.[emoji28]Kwamba wote umewapitia mzee ukajua wana kina kirefu na kipana?? [emoji848] [emoji23]
Acha uoga..weka ndani kitu roho inapenda...wahuni wakiamua wanapita hata na huyo flat skrini wako.Ila kwangu binafsi mwanamke mwenye makalio makubwa simpendi. Anaongeza competition na kufukuziwa sana na njemba zenye ukwasi. Wanajiona wazuri na wana dharau sana. Kama hana utulivu aisee ndani ya nyumba hutakua na amani, hutaacha kuona kila rangi.
Endapo ntakuja kuoa, sitaweka ndani mwanamke mwenye msambwanda. Kwangu amani ya moyo na utulivu ni muhimu kuliko shape!
Acha niwe muoga mkuu. Waswahili wanasema kunguru muoga ndio anaishi miaka mingi [emoji41]Acha uoga..weka ndani kitu roho inapenda...wahuni wakiamua wanapita hata na huyo flat skrini wako.
#MaendeleoHayanaChama
Jitahid uwe mrefu, uwe nadhifu pesa uwe nazo pia walahi maan ukiwa na maneno mengi hivi alfu tuanze na mfuko umebeba karatasi za jero jero za betting walah wabilah dada zangu hutawagusa tutakutoa na mapanga na marunguNaona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.
Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu kama sijui nini.
Nimeona wengine wanajaribu kuvaa mpaka vigodoro, wanajaribu kubinua tumakalio tuonekane ila bado hawapati thamani stahiki. Mimi nawashauri muendelee kukazana maana mna uzuri wa ndani (Inner beauty).
Nashukuru wale wenye hips na makalio wanajiamini, nami nawapongeza sana. Hawa ndiyo aina ya marafiki niwapendao.
Hapa uwe na pesa tu. Ndo Kila Kitu.Jitahid uwe mrefu, uwe nadhifu pesa uwe nazo pia walahi maan ukiwa na maneno mengi hivi alfu tuanze na mfuko umebeba karatasi za jero jero za betting walah wabilah dada zangu hutawagusa tutakutoa na mapanga na marungu
Wakuu, mnahamisha magoli, hapa tunazungumzia wadada wembamba.Hapa uwe na pesa tu. Ndo Kila Kitu.
Wanawake we mbaba kama una kibamia kaa mbali nao utajiabisha bure.Wakuu, mnahamisha magoli, hapa tunazungumzia wadada wembamba.
Wana dag kama gear leaver ya Isuzu journey..Wanawake we mbaba kama una kibamia kaa mbali nao utajiabisha bure.
#MaendeleoHayanaChama
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.