Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.
Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu kama sijui nini.
Nimeona wengine wanajaribu kuvaa mpaka vigodoro, wanajaribu kubinua tumakalio tuonekane ila bado hawapati thamani stahiki. Mimi nawashauri muendelee kukazana maana mna uzuri wa ndani (Inner beauty).
Nashukuru wale wenye hips na makalio wanajiamini, nami nawapongeza sana. Hawa ndiyo aina ya marafiki niwapendao.