Wanawake wembamba msikate tamaa

Wanawake wembamba msikate tamaa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.

Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu kama sijui nini.

Nimeona wengine wanajaribu kuvaa mpaka vigodoro, wanajaribu kubinua tumakalio tuonekane ila bado hawapati thamani stahiki. Mimi nawashauri muendelee kukazana maana mna uzuri wa ndani (Inner beauty).

Nashukuru wale wenye hips na makalio wanajiamini, nami nawapongeza sana. Hawa ndiyo aina ya marafiki niwapendao.
 
Ila kwangu binafsi mwanamke mwenye makalio makubwa simpendi. Anaongeza competition na kufukuziwa sana na njemba zenye ukwasi. Wanajiona wazuri na wana dharau sana. Kama hana utulivu aisee ndani ya nyumba hutakua na amani, hutaacha kuona kila rangi.

Endapo ntakuja kuoa, sitaweka ndani mwanamke mwenye msambwanda. Kwangu amani ya moyo na utulivu ni muhimu kuliko shape!
 
Acha uoga..weka ndani kitu roho inapenda...wahuni wakiamua wanapita hata na huyo flat skrini wako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.

Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu kama sijui nini.

Nimeona wengine wanajaribu kuvaa mpaka vigodoro, wanajaribu kubinua tumakalio tuonekane ila bado hawapati thamani stahiki. Mimi nawashauri muendelee kukazana maana mna uzuri wa ndani (Inner beauty).

Nashukuru wale wenye hips na makalio wanajiamini, nami nawapongeza sana. Hawa ndiyo aina ya marafiki niwapendao.
Jitahid uwe mrefu, uwe nadhifu pesa uwe nazo pia walahi maan ukiwa na maneno mengi hivi alfu tuanze na mfuko umebeba karatasi za jero jero za betting walah wabilah dada zangu hutawagusa tutakutoa na mapanga na marungu
 
Hapa uwe na pesa tu. Ndo Kila Kitu.
 
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.

Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu kama sijui nini.

Nimeona wengine wanajaribu kuvaa mpaka vigodoro, wanajaribu kubinua tumakalio tuonekane ila bado hawapati thamani stahiki. Mimi nawashauri muendelee kukazana maana mna uzuri wa ndani (Inner beauty).

Nashukuru wale wenye hips na makalio wanajiamini, nami nawapongeza sana. Hawa ndiyo aina ya marafiki niwapendao.

Aaah napenda manundu sipendi vijipu
 
Back
Top Bottom