Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Wanaume walevi linapokuja suala la bichwa la chini hamjui hao km watoto zenu…!!
 
Wasipokuelewa hapa ndio basi tena.
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Ukiachika tulia Acha hasira
 
Mbona nasikia ndio mambo yenu Wakinga?. Ili kuupata utajiri, kama nikweli naomba uwe mama yangu.

Lamomy
Rumours hizo..!!
Hakuna mama wa kikinga anatembea na mtoto wake..!!

Halafu wewe na ubabu huo utakuwaje mwanangu jamani khaaa.!! 😹😹😹
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Unazaaje na Mlevi mbwa, malaya, mbakaji, Mbususuman????????
Wewe ni tatizo.
 
Mimi atajibu maswali yangu

1. Kama nitawabaka Ina mana sio watoto wangu?
2.Mimi ni mbwa kiasi Cha kutojua huyu ni mwanangu.

Yani Binti yangu nimtamani na anawaambia watu kabisa nikimuacha atambaka

Mamaeee DNA then TALAKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…