Mwanaume anayeweza kubaka watoto (wawe wa kuzaa au siyo) atakuwa na matatizo makubwa sana ya akili na anastahili adhabu ya kifungo cha maisha. Hki kisingizio cha mwanamke kusema anaogopa kuwaacha watoto wake kwa mumewe kwa sababu ''anaogopa atawabaka'' hutumiwa sana na wanawake waliokulia kwenye maisha ''rough'' ambako hakuna ustaarabu na zinaa ni jambo la kawaida. Infact ukishaona mwanamke anawaza namna hii basi ujue yeye ana mumewe lazima kuna matatizo makubwa kabisa. Hivi baada ya wewe mama, ni nani zaidi unaweza kumwamini kulea watoto wako? Kama siyo mwanaume uliyezaa naye basi ujue kati yenu kuna mwenye matatizo sana.