Mnatuumiza wenye watoto wa kiume jamani🤸🤸🤸The same as education level wadada wengi wanafanya vizuri kuliko boys. Why?
Mjengee mazingira mazuri tuu. He'll be the bestMnatuumiza wenye watoto wa kiume jamani🤸🤸🤸
Unateseka ukiwa wapiWe unaonaje?
Tuna kimbia hao watu wameka wajeuri kipita kiasi hawamilikiki aiseeUkitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?
Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Sure mkuuMjengee mazingira mazuri tuu. He'll be the best
Heee...kwamba ummiliki...Tuna kimbia hao watu wameka wajeuri kipita kiasi hawamilikiki aisee
Wengi sana wako hvyo hivi why mtu mzima na familia unabet!kitaalam ni nn hiyoNashangaa sana mtu unashinda unabet mkeo anahangaika?
Wawe watulivu, kuna mwamba juzi tu kashinda M 500Nashangaa sana mtu unashinda unabet mkeo anahangaika?
Hadi kata mkuuHapana, nimefanya utafiti hii kasumba imezidi sasa. Maana ilianza Dar, sasa kila mkoa na wilaya.