Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

Kwa iyo wewe kila ukimwona mwanamke na mtoto mgongoni anafanya biashara Basi ni anarisha familia na baba yupo kijiweni? Ndivo unavyofikiria au?
Afu research yako et umeenda miji mikuwa na midogo duuh
Mkuu tengeneza dodoso alafu tembelea akina mama wajasiriamali wadogo utapata data.
 
Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?

Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Wee jamaa mbona unaongea ujinga. Ebu waulize wale waliooa wakwambie wanavyohudumia humo ndani hadi hela ya salon ya mke wanatoa.
 
Screenshot_20210411-213522.png
 
Mpo ndiyo....lakini majority tia maji tia maji
Hamna kitu kama hicho...nionyeshe mwanamke mmoja anayelisha familia yake mie nitakuonyesha wanaume 1000.

Nyie wanawake ambao ata hela sa salon to look sexy for ur man mpaka mume atoe ndio mtuambie hapa kuwa nyie mnahudumia familia kuliko wanaume. Acheni utani🤣🤣🤣🤣🤣
 
😊😊😊
 
Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?

Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?

Wanabet
 
Ni uhayawani kumuacha mkeo alishe huku wewe ukiwa mzima wa afya. Mwanamke anatakiwa akae nyumbani aletewe.

Kinyume na hapo ni maafa.
 
Daah hizi tafiti siku hizi aisee
Miji gani hiyo mikubwa wanawake wanachakalika halafu wanaume wanapiga umbea.

Si kweli mkuu wanaumea ndio wanaolisha familia nyingi na hao wanawake wanaochakalika sana hii miji mikubwa ni single mothers. Ndio hivyo asipochakalika mwanae atakula nini.

Mwanaume mwanaume tu aisee.
 
Back
Top Bottom