Haki sawa kwa woteUkitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?
Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Na hivyo pia huko juu ndio kusema......wataongea sanaMada kama hii ni kuwafurahisha wanawake lakini wanaume tunataabika kulisha familia halafu no complain.
Asili ya ke ni mpokeaji ukichanganya na sasa wamewezeshwa kiuchumi lazima wataonekana wako vizuri zaidi ya me.
Ndiyo wajibu wao wanaume kulisha familiaAta kama hujakurupuka wanaume wanaolisha familia zao ni wengi kuliko wasiolisha familia zao braza
Pesa za saloon hutolewa kwa manung'uniko na masimangoHamna kitu kama hicho...nionyeshe mwanamke mmoja anayelisha familia yake mie nitakuonyesha wanaume 1000.
Nyie wanawake ambao ata hela sa salon to look sexy for ur man mpaka mume atoe ndio mtuambie hapa kuwa nyie mnahudumia familia kuliko wanaume. Acheni utani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hao ndiyo wavumilivu hatariYaanii,kuna wanawake wako jehunum aki vile for the name of ndoa,hela watafute wao bado manyanyaso ya mume na ukoo wake loh,.
Wacha wavumilie mwaya pengine wana pepo yao wameandaliwa,Na hao ndiyo wavumilivu hatari
Mwanamke anafanya kazi na ana mshahara mzuri tuu anashindwaje kujilipia salon? Mume kashabeba 80% ya majuku wewe jukumu lako la kulook sexy na kutoa mbususu nayo tugombane?Pesa za saloon hutolewa kwa manung'uniko na masimango
Hilo hali shaka.Ndiyo wajibu wao wanaume kulisha familia
Level ya kidatoUmepima kwenye level ipi mkuu??
Shule zipi hizo
Hii kasumba ya kuisifia sana jinsia Ke hata kwa yasiyo ya kweli pia inakua kwa kasi mno.