Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

hii ndo madhara ya kukaa kwenu hadi unafikia miaka 35
 
Kwa iyo wewe kila ukimwona mwanamke na mtoto mgongoni anafanya biashara Basi ni anarisha familia na baba yupo kijiweni? Ndivo unavyofikiria au?
Afu research yako et umeenda miji mikuwa na midogo duuh
 
Pamoja na yote hayo bado anataka mwanamke huyo huyo amtii na kumuheshimu,tena kama mwanamke anapokea mshahara ampe yeye aupangie matumizi...chaaa!!!
Kumtii ni lazima, sema kama hataki kujishughulisha unamkumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…