Mkuu tengeneza dodoso alafu tembelea akina mama wajasiriamali wadogo utapata data.Kwa iyo wewe kila ukimwona mwanamke na mtoto mgongoni anafanya biashara Basi ni anarisha familia na baba yupo kijiweni? Ndivo unavyofikiria au?
Afu research yako et umeenda miji mikuwa na midogo duuh
Wee jamaa mbona unaongea ujinga. Ebu waulize wale waliooa wakwambie wanavyohudumia humo ndani hadi hela ya salon ya mke wanatoa.Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?
Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Unataka kumiliki mkuu! Siyo kumilikiwa?Tuna kimbia hao watu wameka wajeuri kipita kiasi hawamilikiki aisee
Ata kama hujakurupuka wanaume wanaolisha familia zao ni wengi kuliko wasiolisha familia zao brazaMkuu tuliza munkari, sijakurupuka.
Mpo ndiyo....lakini majority tia maji tia majiAta kama hujakurupuka wanaume wanaolisha familia zao ni wengi kuliko wasiolisha familia zao braza
Hamna kitu kama hicho...nionyeshe mwanamke mmoja anayelisha familia yake mie nitakuonyesha wanaume 1000.Mpo ndiyo....lakini majority tia maji tia maji
😊😊😊Hamna kitu kama hicho...nionyeshe mwanamke mmoja anayelisha familia yake mie nitakuonyesha wanaume 1000.
Nyie wanawake ambao ata hela sa salon to look sexy for ur man mpaka mume atoe ndio mtuambie hapa kuwa nyie mnahudumia familia kuliko wanaume. Acheni utani🤣🤣🤣🤣🤣
Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?
Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Ni uhayawani kumuacha mkeo alishe huku wewe ukiwa mzima wa afya. Mwanamke anatakiwa akae nyumbani aletewe.Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?
Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
Bora ukae kimya best yangu[emoji40]
Na hapo mke asilalamike utasikia kisa pesa zake analeta kiburi mashitaka mpaka kwa mama mzazi ili wifi zake wamuone mbayaPamoja na yote hayo bado anataka mwanamke huyo huyo amtii na kumuheshimu,tena kama mwanamke anapokea mshahara ampe yeye aupangie matumizi...chaaa!!!
Umepima kwenye level ipi mkuu??The same as education level wadada wengi wanafanya vizuri kuliko boys. Why?