Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

Fuatilia upate jibu
 
Wanakula jeuri yao
 
Shari nalitoa wapi wakati mume anajua majukumu yake..!?akikuta hata pipi mezani anauliza hii kanunua nani..!?nguvu ya shari naitoa wapi ndugu yanguu...?
Me sijui but unaonekana tu ni mtu wa kelele, so anakuvumilia kwa hilo kwa kweli
 
Nahisi study yako umeifanyia mbeya,
Kina baba wa mbeya ndio wamezoea sana kulishwa na wake zao.
 
Ahaaa, najua imekugusa. Nakupa nafasi na wewe fanya alafu utapata jibu. Andaa dodoso alafu tafuta data.
Hakuna kilichonigusa hapo ndugu, labda hizi kelele nyingi kwenye majukwaa yao ndio zinakuchanganya uone ni wataftaji kuzidi wanaume. Niseme tu umepotoka ndugu yangu, yawezekana jamaa zako wa karibu inawatokea hiyo hali sasa usijumuishe kwa mji mzima.

Yaani mfano wako ni hao wanaotembeza bidhaa barabarani(na ndio data zako zimeishia hapo😂😂) we jamaa bna.
 
Yaan mwanamke mmoja akimlisha mwanaume mmoja tena kwa wkt flani tuu basi kelele mji mzima duh?
Ndivyo walivyo mkuu tuwazoee.
Bahati mbaya/nzuri wamepata wanaume wengi wanaowatetea ndio kabisaa utaonekana hujari, umetelekeza familia , una roho mbaya, hukufaa kua baba n.k n.k

Na hapo kanunua mboga siku 1 bahati mbaya hujaacha pesa ya matumizi 😂😂
 
Unaowaona wengi ni Singo Mazaz huko barabarani. Halafu nina mashaka na jinsia yako wewe.
 
Pamoja na yote hayo bado anataka mwanamke huyo huyo amtii na kumuheshimu,tena kama mwanamke anapokea mshahara ampe yeye aupangie matumizi...chaaa!!!
Its okay kumlea mwanaume asiye na kazi ukaendelea kumuheshimu bila kumshusha hadhi

Mbona sisi tunalea wanawake mamasikini wamekata ringi na mtaani hatutangazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…