Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

Haki sawa kwa wote
 
Hao wanawake unaowaona barabarani wakiuza uji,mihogo,matunda,nguo,nyanya wengi wao ni single mother na wajane; lazima wafanye hivyo ili kulisha watoto wao na sio waume zao maana waume zao walishakufa na wengine wamekimbia majukumu
 
Mada kama hii ni kuwafurahisha wanawake lakini wanaume tunataabika kulisha familia halafu no complain.

Asili ya ke ni mpokeaji ukichanganya na sasa wamewezeshwa kiuchumi lazima wataonekana wako vizuri zaidi ya me.
 
Mkuu tafiti zako utakuwa umefanyia vijijini kwa sehemu kubwa bila shaka, kama ndivyo nakubaliana na wewe.

Niliwahi kuishi shinyanga vijijini wakati fulani ukweli ni kwamba mwanamke ndiye anajukumu la kujua familia inakula nini mchana, usiku au asubuhi.

Yaani mwanaume akishajua kina mpunga ndani kazi ya mboga na mahitaji mengine ni mwanamke haijalishi anafedha au la!
 
Mada kama hii ni kuwafurahisha wanawake lakini wanaume tunataabika kulisha familia halafu no complain.

Asili ya ke ni mpokeaji ukichanganya na sasa wamewezeshwa kiuchumi lazima wataonekana wako vizuri zaidi ya me.
Na hivyo pia huko juu ndio kusema......wataongea sana
 
Yule marioo wa taifa kawafundisha vijana wa kitanzania tabia mbaya sana[emoji848]
 
Pesa za saloon hutolewa kwa manung'uniko na masimango
 
Pesa za saloon hutolewa kwa manung'uniko na masimango
Mwanamke anafanya kazi na ana mshahara mzuri tuu anashindwaje kujilipia salon? Mume kashabeba 80% ya majuku wewe jukumu lako la kulook sexy na kutoa mbususu nayo tugombane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…