Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

Na wanaume kamili tumebaki wachache sana.

Yaan unaombwa elf 50 unakuja kulalamika, tena umeombwa kwa sababu ya tamaa zako mwenyewe na udhaufu wako wa kupenda penda hovyo?

Muwe mnakaa kimya sometimes kuficha upuuzi wenu
Keyboard warrior..,yaani usikute ww mwnyw huna mbele wala nyuma!!
Huwezi kuwa mwanaume alafu ukaandika huo upuzii.
 
Ukitaka kupiga hatua za kimaisha mtunze mkeo, wachana na kuhonga wanawake wasio kuhusu.

Tangu niachane na hii tabia namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipo
 
Ukitaka kupiga hatua za kimaisha mtunze mkeo, wachana na kuhonga wanawake wasio kuhusu.

Tangu niachane na hii tabia namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipo
 
Unaongea ukweli mtupu,sema haawa wanawake nikama wote tu wanajiuza hadi wake zawatu niwauzaji,sijui tutaponea wapi.
 
Wana omba omba hela

Mwisho wa siku mke,dem wa mtu anafukuliwa

Ova
 
Kuna mduwanzi mmoja mwimbaji wa singeli aliimba: "waache wadange"... na wimbo huo ulipata airtime sana uswahilini.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…