Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana za wanawake wengi wa kiislamu walioshika dini na wenye kumuogopa Mwenyezimungu ndoa zao zinadumu na upendo umetamalaki sana kwenye ndoa kuliko wale wengine kutwa kudai talaka,ugomvi,mauaji na kukosa maadili