Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana za wanawake wengi wa kiislamu walioshika dini na wenye kumuogopa Mwenyezimungu ndoa zao zinadumu na upendo umetamalaki sana kwenye ndoa kuliko wale wengine kutwa kudai talaka,ugomvi,mauaji na kukosa maadili
Umeelewa nilichoandika we binti?Ndio maana warangi ndoa zao zinadumu hadi Raha kuliko wachaga ambao Kila siku kuachika
Naona wewe hujawahi kuishi pwani. Temeke. Lindi na mtwara ushubwada mtupuWanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana za wanawake wengi wa kiislamu walioshika dini na wenye kumuogopa Mwenyezimungu ndoa zao zinadumu na upendo umetamalaki sana kwenye ndoa kuliko wale wengine kutwa kudai talaka,ugomvi,mauaji na kukosa maadili
Nimeelewa dada angu 100% ya wanawake wa kirangi ni waislam wanadumu nadhani mnafundishwa vema Kutulia ndoaniUmeelewa nilichoandika we binti?
Na pia huwa unabubujikwa mav*ili ndoa Yako idumu😂Umeelewa nilichoandika we binti?
Usiongee kama vile sisi tunaishi sayari nyingine, utajiaibisha bure. unavyoongea ni as if sisi tunaishi dunia nyingine tofauti na hii, ni as if hatuishi majirani, tunafanya nao biashara, kazi na wengi ni ndugu zetu.Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana za wanawake wengi wa kiislamu walioshika dini na wenye kumuogopa Mwenyezimungu ndoa zao zinadumu na upendo umetamalaki sana kwenye ndoa kuliko wale wengine kutwa kudai talaka,ugomvi,mauaji na kukosa maadili
Walio na Roho mtakatifu hawafanyi Dhambi??Usiongee kama vile sisi tunaishi sayari nyingine, utajiaibisha bure. unavyoongea ni as if sisi tunaishi dunia nyingine tofauti na hii, ni as if hatuishi majirani, tunafanya nao biashara, kazi na wengi ni ndugu zetu.
au unataka tuamini jkwamba hao wanatabia njema ndio maana ukienda kondoa na dodoma warangi wana huruma sana sana wala hawana shida na hawataki dhambi ya uchoyo. ukienda zanzibar na Tanga wamama wa kule wana upendo wa kweli hata kwa mparange ni kawaida kwa sababu uchoyo ni zambi. tuamini kwamba sio washirikina wanashinda kwa waganga kuroga wanaume, kuroga wenzao wanaofanikiwa.
au tusemeje? hakuna mwanadamua siye na Roho wa Mungu ambaye anaweza kuwa na matendo mema. na Roho wa Mungu huyo anapatikana ukimkiri Yesu Kristo pekee awe mwokozi wako. kwengine kote hata ufanyeje utautesa mwili tu na matendo ya mwili ila moyo bado mchafu. yote katika yote, hata uwe na matendo mema namna gani kama hauna Yesu moyoni wewe ni motoni moja kwa moja.
wanafanay dhambi pale wanapokaidi uongozi wake. shida ni kwa wale wasio naye kabisa hata wa kuwathibitishia dhambi ili watubu hawana. wapo peke yao. naona pia umeruka hoja kwamba hata ukitenda mema kama hujampokea Yesu Mungu hakutambui, no matter how many matendo mema umefanya hapa duniani. hayo ni yako, ila Mungu anakutambua ukiwa na Yesu, ambaye hao unaowataja hawana.Walio na Roho mtakatifu hawafanyi Dhambi??
Utajuaje kuwa sasa nina Roho mtakatifu??wanafanay dhambi pale wanapokaidi uongozi wake. shida ni kwa wale wasio naye kabisa hata wa kuwathibitishia dhambi ili watubu hawana. wapo peke yao. naona pia umeruka hoja kwamba hata ukitenda mema kama hujampokea Yesu Mungu hakutambui, no matter how many matendo mema umefanya hapa duniani. hayo ni yako, ila Mungu anakutambua ukiwa na Yesu, ambaye hao unaowataja hawana.