Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

Men were people who made shit happen!

They brought us food,
they built houses for us,
they fixed things/problems,
they fought to protect us....

Now they ain't doin shit,

They just sit and complain and watch porn all day and blame women for making shit happen
 
Ni majanga sana, nadhani mojawapo ni ongezeko la interaction kati ya hizi jinsia mbili, close intimacy ya hizi gender so automatic acquisition inatokea, lack of knowledge among men how to speak differently across gender sometimes mistreatment women tend to adopt for retaliation in some places ni community general, family relations among households top figures, etc.
 
Mkuu kwa kweli nakuunga mkono mia kwa mia, kwa haiba ya kike mwanamke anakuwaje mbabe, mbishi, mkaidi, mkorofi kwa mumewe? lazima kuna shida kwa baadhi ya hawa wanawake.
 
Mkuu kwa kweli nakuunga mkono mia kwa mia, kwa haiba ya kike mwanamke anakuwaje mbabe, mbishi, mkaidi, mkorofi kwa mumewe? lazima kuna shida kwa baadhi ya hawa wanawake.
Malezi ya Single mama, unadhani yapoje kwa mtoto wake wa kike?
 
Baba mwenyewe ukute unashinda ndani unaangalia wasafi tv unadhani utazikwepa ngumi hapo
 
Tukiachana na suala la ndevu na misuli( maumbile)
Tabia za mwanamke zinaiakisi jamii, tujiulize kaziokotea wapi tabia hizo chafu?
 
Mm ni Dhani sisi wanaume hatuja Simama kwenye nafasi zetu kikamilifu kwenye Familia zetu.
Yaani kuwathibiti wake zetu na watoto wetu wa kiume na wakike.
Pia Kuna shida ya wazazi wa Sasa na wa nyuma kidogo kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa watoto.
 
Baba mwenyewe ukute unashinda ndani unaangalia wasafi tv unadhani utazikwepa ngumi hapo
Kwa baba wa aina hiyo ni shida sana, father ni lazima awe fighter kutimiza majukumu ya ndani mwake!,na atakaporudi apate bashasha na pokezi Zuri la mwanamke mwenye huba mahaba na haiba la mwana mwali aliyefundwa akafundika haswaa, mashalaah....!
 
Mkuu kwa kweli nakuunga mkono mia kwa mia, kwa haiba ya kike mwanamke anakuwaje mbabe, mbishi, mkaidi, mkorofi kwa mumewe? lazima kuna shida kwa baadhi ya hawa wanawake.
Hawafundishiki, hawaelezeki, hawatosheki.
 
Kuna kitu kinatafutwa kuzungumziwa hapa, nipo nimekaa palee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Kama wanaume wameamua kuwa milenda zaidi ya wanawake ,wanatinda nyusi,wamevalia vinju nga,wanashikishwa ukuta wanawake tusipokaza unadhani itakuwaje?....
 
Sasa Kama wanaume wenyewe wa siku hizi wanakunywa mirinda orange na mirinda nyeusi,Unataka kiwanda Cha konyagi kife?wacha wanawake wazinywe tu
 
Siku hizi kwenye gym wapo,kwenye u konda wapo,kwenye kupasua mawe wapo,kwenye kuuza bidhaa wapo,makazini wapo,kwenye malori wapo,kwenye uchungaji makanisani wapo,yaani wamekaba kila kona,hapo mkuu unategemea nini,tujitahidi tu kunyanyua vyuma ili tuwazidi vinginevyo tutaendelea kulialia kila siku...
 
Wanawake wenye ndevu ni ngekewa ya utajiri, usiwapuuze mkuu
Hapa unachanganya, ndevu wanazosemaga za kismati ni ile mtu anakuwa nayo moja au mbili upande, analoongelea ni wanawake wengi kuota ndevu kama wanaume kitu ambacho kinachangiwa sana na mikorogo (zingatia wengi walio nazo), baadhi inatokana na hormones.
 
Kwa Sababu wenzenu wengi wamekimbila hayo majukumu uliyoyataja tunashinda nao saloon,wengine huko huko gym Ni baunsa Ila ndio mabingwa wa kushika ukuta,,,kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…