Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

Unatarajia nni mkuu ilhali utakuta janaume lizima linasuka kazi Yao siku hizi wanataka kupendeza tu ,majukumu hawataki ....wake nao malezi hawana ,jamii inaelekea kupotea kabisa
 
Kwa baba wa aina hiyo ni shida sana, father ni lazima awe fighter kutimiza majukumu ya ndani mwake!,na atakaporudi apate bashasha na pokezi Zuri la mwanamke mwenye huba mahaba na haiba la mwana mwali aliyefundwa akafundika haswaa, mashalaah....!
Mashaalaah ☺️☺️☺️
 
Nadhani akiwa na kitu kinachomtambulisha kuwa yeye ni mwanamke inatosha,hayo mengine tuiachie dunia iende inavotaka huwenda ndyo wanavyotakiwa kuwa kwa nyakati hizi
 
Sasa Kama wanaume wameamua kuwa milenda zaidi ya wanawake ,wanatinda nyusi,wamevalia vinju nga,wanashikishwa ukuta wanawake tusipokaza unadhani itakuwaje?....
Unamaanisha mmekua imara na Wababe na kupoteza haiba kwa sababu vijanaume legelege? Mario!
 
Duh aseeeh πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Sasa Kama wanaume wameamua kuwa milenda zaidi ya wanawake ,wanatinda nyusi,wamevalia vinju nga,wanashikishwa ukuta wanawake tusipokaza unadhani itakuwaje?....
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Aiseee
 
'wengi' ni % ngapi
 
Ila nyie wadada wa kisasa Mungu anawaona aisee
 
Wanavaa sarawili ndio tatizo
Wewe ndio umesema ukweli kabisa!! mwanamke akivaa suruali hawezi kuwa na haiba ya kike hata kidogo!! Ndio maana wanalazimisha kuvaa suruali zinazobana ili angalau wawatamanishe wanaume! Wanaume wanatutwa na tamaa tu wala siyo haiba ya kike!!
 
1.Usupa wumeni
2.Usasa
3.Wanaume kutosimama katika nafasi
4.Ugumu wa maisha
5.Malezi ya pande moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…