Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwani ni kosa kisheria?Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri.
Ila moyoni wengi wanapenda kuutumia uzuri wao kwanza.