Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

Mhmmm, hizo I'd unazodai ni za zamani sijui zina akili mingi , amini kwamba ndio hizi hizi za kina Busu la Kenge na zimekuja kivingine , haya ni madingi ya nyani yamezeeka kinouma , sema tu yameamua yafanye utani kwa sababu hayana cha kupoteza tena
 
Zaidi ya likes sijakuona ukiandika virefu namna hii, kumbe wewe ni wa long sana, tumekukuta....

Nini sababu ya kubadilisha IDs?
Id ya kwanza nilibadili na ilinilazimu kwa sababu kadhaa!!! Mojawapo ni kubadili mfumo mzima wa maisha.

Hizo nyingine ni kusahau password na kuwa nje ya mtandao kwa muda mrefu.
 
๐Ÿ˜„Dada umemaliza yote
 
Hapana kwa kweli mdogo wangu......
Pamoja na kubadili I'd sina sifa za mfanano kivyovyote na huyu mtu.
Id ya kwanza ndio ilinilazimu sana kubadili kwa sababu za kinidhamu...... Maana baadhi ya watu walikuwa na ikawa inaniharibia kwenye mawasiliano.

Mimi si mtu wa kudanganya Wala kuweka vitu ambavyo havipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ