Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mie naomba kuuliza mliooa ...inakuwaje mke anakupangia ratiba ya kumgegeda?Habari za muda huu wadau,
Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi.
Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake,
Katika kushare experience hizo nikagundua mambo yafuatayo;
Wanawake wengi wakishaingia kwenye ndoa wanabadilika Sana hasa kitabia, mwanzo anaweza kuwa alikuwa mpole, mcheshi, utulivu wa kutosha, heshima debe. Akishaingia tu anataka akupande kichwa ukorofi unaanza, maneno yanaanza, kesi zisizo na msingi, madharau, kutokujishusha na kadhalika..🤒🤒
Hii nimekuja kugundua inawagusa Sana wanaume wengi tuliooa kutoka na changamoto hizo, wengi wao wamefikia hatua ya kuwa na kamchepuko at least apunguze mawazo kidogo angalau, wengine kujikuta akitoka zake job anaingia bar kuzuga mpaka mida fulan akirudi akute wife ameshalala.
Wanawake wengi kwenye ndoa Wana tabia ya kutokujiamini, muda wote utakuta anakuhisi tu kwamba una mchepuko hata Kama huna, atang'ang'ana na simu yako ili kutafuta kisichopo ili mradi tu umnyime aongee au ampe akute hata salamu ya kike tu mparangane.
Mwanamke ndoani siku hizi kujishusha hakupo ukipanda naye anapanda, Tena zaidi anakwambia ukinigusa narudi kwetu na anaweza ondoka vile vile kwa jeuri na asirudi. (Hilo mshikaji wangu mmoja lilimkuta, Ila baadaye mwanamke akirudi mwenyewe)..
Ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika kwasababu Kama hizi, mafahali wawili kuishia zizi moja haijawahi tokea,.
Mwanamke aliletwa duniani kuja kumsaidia mume wake majukumu, kumuheshimu, kumtii n.k (hata vitabu vya dini vinasisitiza hilo)
Hii jeuri wanawake majumbani wanaitoa wapi siku hizi, sometimes unakuta jamaa mpole kweli lakini bado atakukoroga kichwa akae hapo juu..
Wanaume tunaogopa kuwahi majumbani kupumzika inabidi kunazuga bar, kwa washkaji, vibanda umiza, pengine kuchepuka kabisa( maana hata ratiba ya tendo la ndoa unapangiwa) ili mradi muda uende ukifika tu kula kulala..
Njoo tushare experience hapa na kubadilisha mawazo 😎😎
No offence🚶🚶
Nigga ChillMlishashauriwa msioe wanawake walioajiriwa, mkadai ooh kusaidiana pumbavu sana mkone mwanamke alieajiriwa atakupanda kichwani tu hawana adabu niwakorofi VIBURI NA JEURI wanajazana maujinga uko makazini usawa bla bla 50/50 anaweka kupanga ratiba ya kuosha vyombo leo yeye kesho wewe na ukigoma matusi kama yote ukimkaripia anakwambia kesho anakwenda dawati ya jinsia na kweli ataenda.
Hongera sanaJamani jamani jamani mtusameheee jamani tusameheni na sisi ni binadamu..nyie mna madhaifu yenu nasi pia vivyo hivyo. Nadhani kuzaa kunyonyesha na majukumu ya familia na ulezi watt ni kitu kimoja kigumu sana. Nadhani kupitia hizi hatua kuna some hormones zinaisha au kuongezeka kupelekea tabia zetu zibadilike. Lakini wanawake wenzangu hakuna kitu kizuri kama kujishusha na kuomba msamaha mimi kuomba msamaha nipo vzr kwa sbb naweza kulipukaaa kama mtungi wa gas ila nikikaa na kutafakari naona kabisa namakosa nitaomba radhi aisee. Yani mm kugombana na Mr au kumletea kiburi na akakasirika huwa inanipa tabu sana yani nijiskia vibaya kama niko uchi so mara nyingi hukumbuka kuomba msamaha yaishe.
Wife MaterialMimi naumiaga Sana nikisikia changamoto kama hizi kutoka kwa wanaume
Hii Safi Sana mkuuu, umelenga pale ambapo🙌🙌Jamani jamani jamani mtusameheee jamani tusameheni na sisi ni binadamu..nyie mna madhaifu yenu nasi pia vivyo hivyo. Nadhani kuzaa kunyonyesha na majukumu ya familia na ulezi watt ni kitu kimoja kigumu sana. Nadhani kupitia hizi hatua kuna some hormones zinaisha au kuongezeka kupelekea tabia zetu zibadilike. Lakini wanawake wenzangu hakuna kitu kizuri kama kujishusha na kuomba msamaha mimi kuomba msamaha nipo vzr kwa sbb naweza kulipukaaa kama mtungi wa gas ila nikikaa na kutafakari naona kabisa namakosa nitaomba radhi aisee. Yani mm kugombana na Mr au kumletea kiburi na akakasirika huwa inanipa tabu sana yani nijiskia vibaya kama niko uchi so mara nyingi hukumbuka kuomba msamaha yaishe.
Wanawake wengi wananyanyua mabega ubabe ubabe😎😎Ukweli ni kuwa wanawake kama wewe wachache sana na hata wanaume wanao tambua thamani ya msamaha ni wachache wengi wanaishi kwa kukomoana
🙌🙌🙌Kusema kweli kuhusu ndoa acha nikae kimya tu. Tena usiombe sasa uwe umeoa mtu mnalingana umri na wote mna ka bachelor degree au zaidi, na wote mna ka kazi au mwanamke ana ka kazi ka uhakika.. Kwa kweli acha ninyamaze tu
😂😂😂😂Nimekucheka kwa jinsi ulivyo jeuri, iliwahi kutokea hii jeuri and guess what hun, yule mwanamke aliolewa kwa heshima zote jamaa akabaki kuhaha na kuweweseka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kimoyo moyoYaani Mkeo aondoke home aende kwao then amue kurudi yeye mwenyewe,Mwanaume wa wapi wewe? Mimi akishaongelea kwao tuu,nauli ipo mezani na kesho yake safari kwao atarudi nitakapoamua Mimi na wala sitazungumza na Wazazi au walezi wake kuhusu sababu.
Am chilled to the core coz I gat married to a woman who axcepts her roles as a woman not stuborn, ill behaved, happiness sucking vampire Carrier women. So am so chilled to ice cold chill.Nigga Chill
🤣🤣🤣 . Wanabana sana mpaka wadanganywe na magari ya kukodi na kuazima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli kabisa nadhani hii ni miongoni mwa sababu wanawake wanawaona wanaume tatizo.
Na wao wamezidi tamaa za vitu inabidi washikaji watumie mbinu za kitapeli kuwanasa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo angeolewa tu hata asingeondoka. Aliyemuacha alikuwa sahihi na hakupaswa kuweweseka angesimamia msimamo wake kuwa nilikosea kuoa SIMTAKI.😂😂😂😂Nimekucheka kwa jinsi ulivyo jeuri, iliwahi kutokea hii jeuri and guess what hun, yule mwanamke aliolewa kwa heshima zote jamaa akabaki kuhaha na kuweweseka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kimoyo moyo
😂😂😂😂 Hii misimamo inapatikana nyuma ya keyboards tu in real life hamnaga jeuri hiyoHuyo angeolewa tu hata asingeondoka. Aliyemuacha alikuwa sahihi na hakupaswa kuweweseka angesimamia msimamo wake kuwa nilikosea kuoa SIMTAKI.
Huu ndio ukwel wenyeweWanaume wengi pia hatujui namna ya kuwa viongozi kwenye ndoa zao. Utii kutoka kwa mwanamke hauji tu ati kwa kuwa umemuoa.
Kuna namna unapaswa kuishi kama mwanaume unayejielewa, kiongozi, baba na mlinzi wa familia. Mkeo mwenyewe ana-salute kwako anajua kweli yuko na mme jembe lazima akuheshimu tu.
Lakini mwanamke akikubishia jambo dogo tu, tayari unaamua ukitoka kazini unapitia bar unarudi akishalala ati unaogopa kelele za mkeo.
Hapo mkeo lazima akushangae na akuone una mapungufu hasa ya kiuongozi.
Mwanamke anaweza kukuhoji kuhusu jambo lolote lile maana naye ni mwanadamu na ni partner wako kwenye maisha.
Sasa wewe badala ya kuonesha uanaume wako wa kutoa hoja zenye majibu na kuweka msimamo na uonvozi juu ya hoja hiyo unaishia kukimbilia bar.
Ni shida kubwa wanaume tunayo.
Hatujielewi haswa na tumekuwa waoga mno wa maisha na debate za kwenye ndoa. Mwanamke mpaka anashindwa kuelewa aishije na wewe maana huonekani kujua lolote na wala humuongozi kujua na kuufuata uelekeo wenu.
Sasa mwanaume anachelews kurudi nyumbani ati kisa hapendi mkewe anavyokagua simu yake😀😀😀. Wakati ukichukulia positively ni kwamba inawezekana anakupenda huyo na anaogopa kuibiwa baaaas.
Kwahiyo kama una mambo yako jua jinsi ya kuyaficha kwenye simu asiyaone au yafute. Akikagua anakukuta swafi baadae anazoea tu.
Tushaambiwa tuishi nao kwa akili. Akili asipoziona kwako anakudharau.
Mwanaume akishajiweza kifedha kiburi ni asili yetu ni vile tu hujakutana na anayejiweza. Yaani tuna kiburi cha asili labda mfukoni kuwe empty. Ila na mipesa asilimia 95% humwambii kitu we NENDA tu kaolewe🤣🤣🤣😂😂😂😂 Hii misimamo inapatikana nyuma ya keyboards tu in real life hamnaga jeuri hiyo
Kiburi cha kwenye keyboard unafikiri kinatutisha!!!😂 Huku kitaa mnaogopa hata nyumba mnashinda bar mpk usiku mnene ili ukute wife kalala, alfajiri umesepa,😂 nicheke Tena!!!!Mwanaume akishajiweza kifedha kiburi ni asili yetu ni vile tu hujakutana na anayejiweza. Yaani tuna kiburi cha asili labda mfukoni kuwe empty. Ila na mipesa asilimia 95% humwambii kitu we NENDA tu kaolewe🤣🤣🤣
Ndugu yangu, ni ngumu sanaaaa mwanaume aliyekamilika na mwenye uwezo kifedha akaendeshwa na mwanamke. Kaa na bibi zako watakuambia. Kama wapo ni less than 2%.Kiburi cha kwenye keyboard unafikiri kinatutisha!!!😂 Huku kitaa mnaogopa hata nyumba mnashinda bar mpk usiku mnene ili ukute wife kalala, alfajiri umesepa,😂 nicheke Tena!!!!
Muhimu Ni kuishi kwa kuheshimiana tu Kuna wenye hela na bado mapenzi yanawacharaza sawia, omba usipate mwanamke mbabe ama ubabe wako wa kiume uutumie kiakili kwa mkeo, ukipandisha mabega akikuamulia utayashusha tu, achana na mwanamke kabisa
Baeleze...mwanaume na hela zake na anajitambua kamwe hawezi sumbuliwa na mbususu. Kikubwa kuwa nanhela tuu.Ndugu yangu, ni ngumu sanaaaa mwanaume aliyekamilika na mwenye uwezo kifedha akaendeshwa na mwanamke. Kaa na bibi zako watakuambia. Kama wapo ni less than 2%.
Ashinde bar sababu ya mke🤣🤣 kisha arudi nyumbani? Huyo ujue hana pa kulala, kwani Appartment mjini zimekwisha? Au tiketi za kusafiri za ndege hakuna?
Na wadada wanavyopenda wanaume wa watu wenye pesa sasa, hapo nyumbani utamuona mara moja kwa mwezi siku akikuletea risiti za watoto za ada anaowasomesha nje huko.
Hujatujua wanaume. Sikia, kuna jambo moja tu la kumnyong'onyesha mwanaume, FEDHA. Kinyume na hapo labda awe mvulana si mwanaume.
USHAURI: usiwe mkorofi kwa mume anayejiweza. Kuna wenzio watapangiwa appartment mjini na kupandishwa ndege sababu wanajua kumsahaulisha ukorofi wako.