Ndugu yangu, ni ngumu sanaaaa mwanaume aliyekamilika na mwenye uwezo kifedha akaendeshwa na mwanamke. Kaa na bibi zako watakuambia. Kama wapo ni less than 2%.
Ashinde bar sababu ya mke🤣🤣 kisha arudi nyumbani? Huyo ujue hana pa kulala, kwani Appartment mjini zimekwisha? Au tiketi za kusafiri za ndege hakuna?
Na wadada wanavyopenda wanaume wa watu wenye pesa sasa, hapo nyumbani utamuona mara moja kwa mwezi siku akikuletea risiti za watoto za ada anaowasomesha nje huko.
Hujatujua wanaume. Sikia, kuna jambo moja tu la kumnyong'onyesha mwanaume, FEDHA. Kinyume na hapo labda awe mvulana si mwanaume.
USHAURI: usiwe mkorofi kwa mume anayejiweza. Kuna wenzio watapangiwa appartment mjini na kupandishwa ndege sababu wanajua kumsahaulisha ukorofi wako.