Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwani dini ya kikristo inatakaje mkuu? Maandiko yanasemaje?Si sahihi ila huwa inatokea. Ni kama kuoa wake wawili na kuolewa na wanaume wawili. Imekaaje hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani dini ya kikristo inatakaje mkuu? Maandiko yanasemaje?Si sahihi ila huwa inatokea. Ni kama kuoa wake wawili na kuolewa na wanaume wawili. Imekaaje hiyo?
🤓🤓🤓Si sahihi ila huwa inatokea. Ni kama kuoa wake wawili na kuolewa na wanaume wawili. Imekaaje hiyo?
Well said mkuu, hii taasisi inachangamoto Sana, kuna watu wanadhan tatizo ni pesa, uaminifu n.k vyote hivyo vinaweza kuwepo lakini maelewano ni changamoto..wanawake kweli tunapaswa kuwapenda tena sana....ila kuna mahali unaachilia mbali maisha yaende...ila ndio umempa nafasi.......wanabadilika hatari mno.....kuna hiki kineno....unataaka BIFU na mimi.........najiuliza katoa wapi haya maneno.......ukifikiria kurudi home jioni huna hamu....bar napo,,, ndio hivyo uharibifu wa kipato.....anyway......nilipitia tukamalizana......na ninasonga mbele.......what I care ni watoto tuu....
tusiache kumuomba na kumshukuru Mwenyezi MUNGU......Hii taasisi ni ngumu mno...aikudanganye mtu mie kuko poa kwangu....nooo.....kuna vitimbi ajabu.....
Kuna ndoa za kimilia( hizi zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja), kuna kiislam ( hizi pia zinaruhusu wanawake wengi) na ukristo (ambapo wenyewe walijikita kwenye ndoa yamke mmoja na mme mmoja)Kwani doctor mwaka yeye ni nani? Maandiko yanasemaje?
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Mkuu kula maji baridi kubwa hapo kwa mangi nitalipia mimi wewe weka namba ya m-pesa hapa.nashukuru kwa uzi huu kwa maana changamoto za wife ni kelele mwanzo mwisho kiasi kwamba nimeshawaza kuita vijana tumfunge kamba kisha nimpeleke moja kwa moja kwenye ward ya vichaaa ili wamdunge zile sindano za machizi za kuvimbisha ulimi labda atajirekebisha au nikamtupe kwenye gari la taka
Mimi siyo mfuasi wa tamaduni za kiafrika wala dini ya kiislam! Mimi ni mkristo na hapa ninaongelea zile ndoa ambazo zimefungwa kanisani katika imani ya kikristo!Kuna ndoa za kimilia( hizi zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja), kuna kiislam ( hizi pia zinaruhusu wanawake wengi) na ukristo (ambapo wenyewe walijikita kwenye ndoa yamke mmoja na mme mmoja)
Sasa sijajua unataka maandiko ya upande gani[emoji56][emoji56][emoji56]
Haha haha wananyanyua mabega na kudindisha vis.imi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wanawake wengi wananyanyua mabega ubabe ubabe[emoji41][emoji41]
Mke mmoja mpaka ufe au afe na usichepuke.Kwani dini ya kikristo inatakaje mkuu? Maandiko yanasemaje?
Ubachela aiseeHabari za muda huu wadau,
Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi.
Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake,
Katika kushare experience hizo nikagundua mambo yafuatayo;
Wanawake wengi wakishaingia kwenye ndoa wanabadilika Sana hasa kitabia, mwanzo anaweza kuwa alikuwa mpole, mcheshi, utulivu wa kutosha, heshima debe. Akishaingia tu anataka akupande kichwa ukorofi unaanza, maneno yanaanza, kesi zisizo na msingi, madharau, kutokujishusha na kadhalika..[emoji855][emoji855]
Hii nimekuja kugundua inawagusa Sana wanaume wengi tuliooa kutoka na changamoto hizo, wengi wao wamefikia hatua ya kuwa na kamchepuko at least apunguze mawazo kidogo angalau, wengine kujikuta akitoka zake job anaingia bar kuzuga mpaka mida fulan akirudi akute wife ameshalala.
Wanawake wengi kwenye ndoa Wana tabia ya kutokujiamini, muda wote utakuta anakuhisi tu kwamba una mchepuko hata Kama huna, atang'ang'ana na simu yako ili kutafuta kisichopo ili mradi tu umnyime aongee au ampe akute hata salamu ya kike tu mparangane.
Mwanamke ndoani siku hizi kujishusha hakupo ukipanda naye anapanda, Tena zaidi anakwambia ukinigusa narudi kwetu na anaweza ondoka vile vile kwa jeuri na asirudi. (Hilo mshikaji wangu mmoja lilimkuta, Ila baadaye mwanamke akirudi mwenyewe)..
Ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika kwasababu Kama hizi, mafahali wawili kuishia zizi moja haijawahi tokea,.
Mwanamke aliletwa duniani kuja kumsaidia mume wake majukumu, kumuheshimu, kumtii n.k (hata vitabu vya dini vinasisitiza hilo)
Hii jeuri wanawake majumbani wanaitoa wapi siku hizi, sometimes unakuta jamaa mpole kweli lakini bado atakukoroga kichwa akae hapo juu..
Wanaume tunaogopa kuwahi majumbani kupumzika inabidi kunazuga bar, kwa washkaji, vibanda umiza, pengine kuchepuka kabisa( maana hata ratiba ya tendo la ndoa unapangiwa) ili mradi muda uende ukifika tu kula kulala..
Njoo tushare experience hapa na kubadilisha mawazo [emoji41][emoji41]
No offence[emoji124][emoji124]
MsimamoMimi siyo mfuasi wa tamaduni za kiafrika wala dini ya kiislam! Mimi ni mkristo na hapa ninaongelea zile ndoa ambazo zimefungwa kanisani katika imani ya kikristo!
Halafu hapa sijaongelea masuala ya wake wengi au mke mmoja (japo hiyo nayo pia kwa mujibu wa dini ya kikristo haijaruhusiwa)! Hapa naongelea kuchepuka nje ya ndoa!
Dah 😂😂😂Kwa dunia ya sasa wanaume pekee tunaoishi kwa furaha ni mabachela tu.yani mnavyosaliti chama na kuondoka kwa mbwembwe Kumbe ndo mnachofanyiwa huko aisee😂🤣😂🤣😂🤣😅😂 chama bachela kidumu !!. Sisi bachela tulijua wenzetu mpeta wasaidizi kumbe Mnaonja joto la jiwe hivyo,ila kwa kweli mnasaidiwa vilivyo😅😁😀😂. Poleni wanaume wenzetu, wanaume kutiana moyo bwana. ila siku nyingine muache kutuponda makanisani kama mnavyotuita eti sisi wanaume tusio wajibika aya sasa wajibikine huko 😂🤣😁😅 🏃
Ni shida sanaaaKusema kweli kuhusu ndoa acha nikae kimya tu. Tena usiombe sasa uwe umeoa mtu mnalingana umri na wote mna ka bachelor degree au zaidi, na wote mna ka kazi au mwanamke ana ka kazi ka uhakika.. Kwa kweli acha ninyamaze tu
Mke mmoja mpaka ufe au afe na usichepuke.
Sasa inakuwaje tena mwanaume kuchepuka ionekane sawa? Na wengine wanakwendaga mbali zaidi na kutolea hadi mifano ya watu ambao ni binadamu kama sisi?Msimamo
Kuchepuka ni hulka iliyopo ndani ya mtu binafsi inaweza mkuta mtu yeyote muda wowote.....
Hapo busara inafuata unaweza ukaitikia wito ukachepuka au ukapuuzia ukaendelea na Maisha(kitu ambacho no salama zaidi na moyo unatulia)...
Japokuwa kuchepuka pia siyo dawa ya tatizo bali inaongeza tatizo na stress baada ya tendo husika....[emoji848]
Wala hukukosea aisee,mm lilinikuta hilo sikumchelewesha nilimbwagilia MbAli, hata mwaka haukuisha nikamwachaHabari za muda huu wadau,