Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Mwanamke hata umgonge sana ufundi sana Huwa ana muda wake wa upendo ukisha fika mwisho huwezi mlizisha utapaka mkongo sana ataona una muumiza utamgonga kidogo ataona huna nguvu za kiume, dawa owa mama wa nyumbani shida zitakiwepo ila mashaallah kidogo ahuweni inakuwepo ukisha ONA mwanamke ni WA kuamka asubuhi eti anaenda kazini mhhhh
 
Mwenyewe sasa hivi nina dharau
Naomba tiba
Dharau zingine huvutia wanaume, ambazo wao huziita 'kuringa'!

Utasikia jamaa linasema: ... 'Nitamtafuta kwa gharama yoyote nikione anachoringia'...

Elewa hapo sasa mtu amekamia kujifirisi kwa ajili ya 'kumvua' mringaji ambaye ninyi mnasema ana'dharau'.

Punguza 'dharau' dada watu waepuke kukufuatilia.
 
Mwanamke mwenye dharau dawa yake moto..
Kuna mdada hapa ni daktari sijui yule na ndinga analo na ana nyumba chax huko upa amepanga yupo na jamaa ake kabisa ipa anavompelekesha jamaa ake so poa

Ila baada ya kuingia 18 nilipeleka moto uwezi amini mpaka ananiogopa an hana hizo zarau na vipesa anayo

Ndo mana jasema dharau dawa yake moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Wee wa kulelewa huna jipyaa, subiri wanawake wakuchoke, utahamia kwa wanaume penda sana mtelezo.
 
Dharau zingine huvutia wanaume, ambazo wao huziita 'kuringa'!

Utasikia jamaa linasema: ... 'Nitamtafuta kwa gharama yoyote nikione anachoringia'...

Elewa hapo sasa mtu amekamia kujifirisi kwa ajili ya 'kumvua' mringaji ambaye ninyi mnasema ana'dharau'.

Punguza 'dharau' dada watu waepuke kukufuatilia.
😂😂😂😂😂
 
Mwanamke bila udikteta hamuendi cheka naye kwa machale mpe mahitaji yake kwa kadri ya uwezo wako, mtawale kwny kila ktu hata kama ana vijihela vyake vitawale, akae akijua muda wowote unamuacha, uksema no or yes afuate, usimpge kosa la kupga kwangu ni kuachana spigi mtoto wa mtu, nikiona dalili za kubshana au kurushiana maneno bs ndo tumefka mwsho, mi ndiye msemaji wa mwsho hataki byebye, hzi ni principle zangu na ninazsimamia kama imani na ninaishi kwa amani na mwanamke wng..
 
Pata hela tujue tabia yako... Huu usemi umebeba ukweli mtupu... Si wanawake tu hata sisi wanaume tukijipata hua tunaanza kuwadharau madem ama wake zetu walio tuvumilia wakati hatuna kitu.Upendo ukiwa nguzo ya mahusiano yenu ni ooa sana
Wakati anakuvumilia kipindi hauna kitu yeye alikua na nini?. Hakuna cha kuvumilia wala nini hapo, ukweli ni kwamba mwanamke hakua na machaguo bora zaidi ya huyo mwanaume. Angetakwa na mwanaume mwenye hela angekuacha.

Mwanaume pia kwa sababu hauna hela haukua na options nyingi ukalazimika kubaki na huyo huyo mmoja. Baada ya kupata hela sasa una optjons nyingi ndio unachukua wanawake wa ndoto zako.

Hakuna innocent hapo, wote mlikua mnaviziana
 
Kanuni,piga kimya!Susia game!jipange,sepa kimya kimy!

Abaki akiweweseka kuwaelezea wenzake Nini kilitokea!kama ulizaa nae mwachie vile anavyotaka halafu anzisha maisha mengine!!!

Huwa wanajiona ma superstar pale unapojifanya kunyenyekea mahusiano na kuogopa kumpoteza!

Kuna mmoja nilipiga kimya nikasepa halafu nikiulizwa nasema nimeongeza mke na sijamwacha yule!lakini moyoni ni kwamba am gone forever nitakua nawa chek Kwa kushtukiza wale viumbe was mungu aliotupa wakati tukiwa pamoja!

Na yeye anaamini kuwaficha wale viumbe wa Mungu ni pigo kwangu,kumbe ni mtelezo tu!!coz najua hawawezi kifa njaa na wakikua ntapiga nao story
 
Back
Top Bottom