Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Huo ni mtazamo wako sababu anakuwa busy na mambo yake ya pesa kitu ambacho mwanzo hakuwa nacho.

Hata kuna level ukifika lazima kuna raia uwapunguze sio kwamba hawana umuhimu ni mabadiliko ya kupiga hatua..!!

Kingine hawezi kuwa na wewe wakati sio level zake tena. Ulizoea kumkopa unategemea aki-level up akupe chiu kwa mkopo tena? 😹 Thubutuuu!!
 
Mwanamke bila udikteta hamuendi cheka naye kwa machale mpe mahitaji yake kwa kadri ya uwezo wako, mtawale kwny kila ktu hata kama ana vijihela vyake vitawale, akae akijua muda wowote unamuacha, uksema no or yes afuate, usimpge kosa la kupga kwangu ni kuachana spigi mtoto wa mtu, nikiona dalili za kubshana au kurushiana maneno bs ndo tumefka mwsho, mi ndiye msemaji wa mwsho hataki byebye, hzi ni principle zangu na ninazsimamia kama imani na ninaishi kwa amani na mwanamke wng..
Eti vihela vyake😏😏😏...wanaume mna dharau sana
 
Wanawake wengi wanafikiri mchango wao ni sex tu, yaani kwa sababu mlikua mnafanya sex wakati unajitafuta yeye anaona tayari amechangia kwenye harakati zako, na mbaya zaidi wana mawazo ya kujiona wanafanya favor kudate na mwanaume anaejitafuta ndipo hayo mawazo huwa yanaambatana na dharau, kutokuwawekea wanaume wengine mipaka ya kumsogelea n. k

Ukweli ni kwamba sex haiongezi thamani yoyote kwenye hustle za mwanaume, na kama mchango wa mwanamke ni sex tu basi anaweza kuwa replaceable kirahisi kabisa. Maana sex unaweza kuipata hata kwa dadapoa for cheap and fast.

Wanawake sasa wajue kuna tofauti kati ya kuwepo na kushiriki. Sawa ulikuwepo wakati jamaa anajitafuta, je uliongeza thamani gani?
Heee makubwaa🙄🙄...zaidi ya sex mnaotaka mchango gani tena?
 
Back
Top Bottom