Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

Wanawake wengi wakijipata huwa na dharau sana hasa waliotokea maisha ya chini

DAWA NI KUWAPIGA MASHINE YA NGUVU
Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
 
Kwanini udharauliwe?
Pambana ukwepe kuona watu wanakudharau
Watu wanajidharaulisha wenyewe, hawataki kujiheshimisha kwenye jamii, mtu yupo yupu tu hata mazoeuzi hafanyi, kazi anafanya kwa kulazimishwa wakati ni mtu mzima, harafu anataka wanawake wamheshimu.

Kuwa na kakitu kakufanya kanakupa heshima sio kila siku unawaza wanawake, unang'angania mwanamke mmoja kama vile ni Mama yako na yeye anakuchoka
 
Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
We mwanaume kazi yako ni kupiga kazi, na sio kushindana kutafuta sifa kwa wanawake. Hongera sana mkuu we piga kazi mgodini maisha yaendelee.

Wanaume wengi sana including Baba Zetu wamefelishwa na wanawake, kupenda kutomba mpaka unashindwa kufocus na mambo mengune ndio kunasababisha hayo
 
Wakati anakuvumilia kipindi hauna kitu yeye alikua na nini?. Hakuna cha kuvumilia wala nini hapo, ukweli ni kwamba mwanamke hakua na machaguo bora zaidi ya huyo mwanaume. Angetakwa na mwanaume mwenye hela angekuacha.

Mwanaume pia kwa sababu hauna hela haukua na options nyingi ukalazimika kubaki na huyo huyo mmoja. Baada ya kupata hela sasa una optjons nyingi ndio unachukua wanawake wa ndoto zako.

Hakuna innocent hapo, wote mlikua mnavi

Hakuna innocent hapo, wote mlikua mnaviziana
Lakini mbona wengine tumejipata na wake zetu tumewezesha wamejipata na wamekua msaada mkubwa tu
 
We mwanaume kazi yako ni kupiga kazi, na sio kushindana kutafuta sifa kwa wanawake. Hongera sana mkuu we piga kazi mgodini maisha yaendelee.

Wanaume wengi sana including Baba Zetu wamefelishwa na wanawake, kupenda kutomba mpaka unashindwa kufocus na mambo mengune ndio kunasababisha hayo
Yah,mpaka Leo akipiga simu ni kilio tu na mtoto ninae hapo pembeni.
Ooh mwanangu nimemzaa mimi,
kijana hataki kumsikia hata kidogo maana anajua story yoote.
 
Mwanamke mwenye dharau dawa yake moto..
Kuna mdada hapa ni daktari sijui yule na ndinga analo na ana nyumba chax huko upa amepanga yupo na jamaa ake kabisa ipa anavompelekesha jamaa ake so poa

Ila baada ya kuingia 18 nilipeleka moto uwezi amini mpaka ananiogopa an hana hizo zarau na vipesa anayo

Ndo mana jasema dharau dawa yake moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Hujafafanua moto uliompelekea...?
 
Mtu akionyesha dharau achana naye. Mpunguze kwenye list yako. Kuna kabinti kalikuwa rafiki yangu na alipenda sana kuja ofisini kwetu kipindi anajitafuta. Alivyompata jamaa wa TRA na kumfungulia biashara ya interior design ndo mabadiliko yakaanza ghafla. Mara ya mwisho kumpigia simu alipokea binti mwingine na kuniambia eti yeye ni msaidizi wa Madam kama kuna jambo nimwambie atafikisha. Ikabidi nikate simu na kujiambia ni mwisho umefika. Hata baadhi ya vijana wa kiume anafungua kaofisi na kuweka secretary kiasi kwamba ukienda kabinti kanakuuliza kama una appointment na boss.😄🤔 Bahati mbaya sana biashara zenyewe huwa hazichukui muda chali.
 
...Ni ukweli mtupu.
Usisahau pia wakati hauna hela kuna dharau za hapa na pale.
Wanawake wengi wanafikiri mchango wao ni sex tu, yaani kwa sababu mlikua mnafanya sex wakati unajitafuta yeye anaona tayari amechangia kwenye harakati zako, na mbaya zaidi wana mawazo ya kujiona wanafanya favor kudate na mwanaume anaejitafuta ndipo hayo mawazo huwa yanaambatana na dharau, kutokuwawekea wanaume wengine mipaka ya kumsogelea n. k

Ukweli ni kwamba sex haiongezi thamani yoyote kwenye hustle za mwanaume, na kama mchango wa mwanamke ni sex tu basi anaweza kuwa replaceable kirahisi kabisa. Maana sex unaweza kuipata hata kwa dadapoa for cheap and fast.

Wanawake sasa wajue kuna tofauti kati ya kuwepo na kushiriki. Sawa ulikuwepo wakati jamaa anajitafuta, je uliongeza thamani gani?
 
Una dalili za kutojiamini!
Naunga mkono hoja kuwa wanawake waliotokea familia duni wakipata maisha wengi wanakuwa ni vimeo
Anadekeza watoto wake kupita maelezo na anakuwa na kiburi sana na kuishia kujitenga na jamii kabisa....
Yaani kama umemuoa unageula kuwa hakimu baada ya wife kugombana /kutengana na watu karibia wote walio mzunguka....
Wale waliotokea maisha ya wastani au ya juu, wanakuwa poa sana... wamezoea.....
 
Naunga mkono hoja kuwa wanawake waliotokea familia duni wakipata maisha wengi wanakuwa ni vimeo
Anadekeza watoto wake kupita maelezo na anakuwa na kiburi sana na kuishia kujitenga na jamii kabisa....
Wale waliotokea maisha ya wastani au ya juu, wanakuwa poa sana... wamezoea pesa.....
Ni wazi huu uzi hautawafurahisha wanawake wengi akiwemo huyo uliyemquote.

kwa sisi ambao tumeishi kwenye mikoa yenye muingiliano mkubwa wa watu, hiki kitu tunakiona sana.

Kidada kimetoka familia duni,kimelelewa kwa kula mohogo na viazi,kimesoma government schools mwanzo mwisho, kimebahatika kupata kazi baada ya kupenya kwenye interview ya watu 20,000...

....kinachofuata hapo ni kuota kiburi na dharau za kufa mtu tena dharau hizo mara nyingi ni kwa watu ambao wametoka background inayofanana na yake, huwa nashangaa sana.
 
Mwanamke bila udikteta hamuendi cheka naye kwa machale mpe mahitaji yake kwa kadri ya uwezo wako, mtawale kwny kila ktu hata kama ana vijihela vyake vitawale, akae akijua muda wowote unamuacha, uksema no or yes afuate, usimpge kosa la kupga kwangu ni kuachana spigi mtoto wa mtu, nikiona dalili za kubshana au kurushiana maneno bs ndo tumefka mwsho, mi ndiye msemaji wa mwsho hataki byebye, hzi ni principle zangu na ninazsimamia kama imani na ninaishi kwa amani na mwanamke wng..
Umeandika kibingwa Sanaa mwanetu
 
Hata uzame kichwa chako mle ndani ya pango uzaliwe upya atakwambia bado haitoshi.
Mi nashangaa sana mkisumbuana na hivyo viumbe.
Msilie ila muwapende tu hamna kulialia wametuzaa hawa.
In my opinion wanawake wanahitaji zaidi upendo na kuwajali.
Hiyo PIPE utakesha na akalombwa na boda, muuzagenge hapo mbele tu.
Wangu alinyonyolewa na kinyozi na ni bonge la pisi.
Mi niko migodini huko nazisaka.
Mpaka leo analia akikumbuka maisha yetu.
Ukaamua kumpiga chini mkuu?
 
Comment of the year!
 
Back
Top Bottom