Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Umejibu kitaalamu sana na nimependa sana mkuu...Kupelekea moto mkuu ni kumstarehesha na siyo kumuadhibu.
Ukiona umempelekea fire akabaki kucheka cheka tu, jua kakupenda huyo, lakini roho ya dharau haiwezi kumtoka!
Na dharau zinakujaje? Mkishazoeana.
Moto...Moto kivip fafanua
Mwenyewe sasa hivi nina dharauMoto...
Nikimaanisha kitandani kumpa show show
Dharau zingine huvutia wanaume, ambazo wao huziita 'kuringa'!Mwenyewe sasa hivi nina dharau
Naomba tiba
Wee wa kulelewa huna jipyaa, subiri wanawake wakuchoke, utahamia kwa wanaume penda sana mtelezo.Mwanamke mwenye dharau dawa yake moto..
Kuna mdada hapa ni daktari sijui yule na ndinga analo na ana nyumba chax huko upa amepanga yupo na jamaa ake kabisa ipa anavompelekesha jamaa ake so poa
Ila baada ya kuingia 18 nilipeleka moto uwezi amini mpaka ananiogopa an hana hizo zarau na vipesa anayo
Ndo mana jasema dharau dawa yake moto 🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂Dharau zingine huvutia wanaume, ambazo wao huziita 'kuringa'!
Utasikia jamaa linasema: ... 'Nitamtafuta kwa gharama yoyote nikione anachoringia'...
Elewa hapo sasa mtu amekamia kujifirisi kwa ajili ya 'kumvua' mringaji ambaye ninyi mnasema ana'dharau'.
Punguza 'dharau' dada watu waepuke kukufuatilia.
Wakati anakuvumilia kipindi hauna kitu yeye alikua na nini?. Hakuna cha kuvumilia wala nini hapo, ukweli ni kwamba mwanamke hakua na machaguo bora zaidi ya huyo mwanaume. Angetakwa na mwanaume mwenye hela angekuacha.Pata hela tujue tabia yako... Huu usemi umebeba ukweli mtupu... Si wanawake tu hata sisi wanaume tukijipata hua tunaanza kuwadharau madem ama wake zetu walio tuvumilia wakati hatuna kitu.Upendo ukiwa nguzo ya mahusiano yenu ni ooa sana
Aiseee.ANGALIA MAJARIBU HAYAAAA
Kitakuj kufa
...Ni ukweli mtupu.Mwanaume pia kwa sababu hauna hela haukua na options nyingi ukalazimika kubaki na huyo huyo mmoja. Baada ya kupata hela sasa una optjons nyingi ndio unachukua wanawake wa ndoto zako.