MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Weka picha zao tuwaone, vinginevyo huu ni umbea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskin rohoo yangu mim rohoo ya ngu mmmkuchapiwa n siri ya ndanusitoe siri zetu mkuu tafadhal
Haina pingamizi hiyo...hawa viumbe hawana upendo na kiumbe wa kiumeMPWAA SOMA BIBLE WANAWAKE AWAJAHI PENDA MWANAUME ATAMPENDA MKEWE MKE ATAMHESHIMU UKIONA AKUHESHIMU KIMBIA ANAKIUKA MAANDIKOOO
MKEWANGU NAMWAMBIAGA TUKIPATA DOmPO AUJAWAHI WALA UTAKAA UNIPENDE ILA USIPONIHESHIMU NAKUACHIA MPAKA NA KODI YANYUMBA
Wanaume tunakuwa na makoromeo, kazi yake ni kuzuia umbea kama huu uliouleta, yaani unasikia watu wanaongea mambo yao, wewe chap kwa haraka uko JF, HAUNA TESTESTERONEHuo ndio umbea sasa... Unataka picha hili iweje sasa, ukasambaze? Je ukikuta ni mke wako ndio anasema hivyo..., mimi sitaki murder case
Yes... Wengi wao... Binti akikuona una kakazi au uhakika wa milo miwili au mitatu anajisogeza... Unajikuta unaoa... Wengine wanaolewa kwa sababu tu ya umri unakwenda.Njaa ndio zinawafanya waolewe
Sahihi kabisaHii kesi huwa inatokana na outgrow.
Wanawake na wanaume ikitokea mmoja wao -Ame-outgrow kumzidi mwenzie hii hupeleea watu wanaoishi pamoja kuanza kupishana .
Hii outgrow ndo huwa inatokea hata katika urafiki unapokua na marafiki wakawa hawajukua huwa mnaanza kukwepana na hatimaye urfiki kupotea.
Kuishi na MTU hutegemea zaidi vigezo vya ndani . na upendo ndipo hujengeka ,kukua na kuendelea kuwepo.
Very trueTrue brother, Ni hesabu fupi tu...
Hayo ndo madhara ya wao kusubiri hadi watongozwe, Wao pis wana watu wao ambao waliwapendaga before ila waliona noma kuwaambia hisia zao kwa sababu ya hii mentali ya kwamba mwanamke hatongozi.
Mwisho wa siku inambidi mwanamke huyo awe na options za katika wale ambao watamfuata kumtongoza na hapo ndipo hukuta waangozwa na machaguzi ya nje na kupuuza hisia zao na hapo ndo kifungo chao huanza maana itambidi kuishi na mtu ambae pengine alimkubali kutokana na kazi,status au kipato na issue inakujakuwa kwenye kupishana kihisia.
Huo ndio umbea sasa... Unataka picha hili iweje sasa, ukasambaze? Je ukikuta ni mke wako ndio anasema hivyo..., mimi sitaki murder case